Kamata kamata ya sakata la MV NYERERE: Mnyororo ni mrefu sana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,373
217,435
Kwanza kabisa ni lazima mamlaka za Tanzania zifahamu kwamba sisi wananchi tuna akili timamu alizotupa Mungu , ule wakati alipotuumba , lakini pia tukaongeza maarifa mengine kwa kusoma shule , hivyo wanavyotupa taarifa ni lazima watambue kwamba sisi wanaotupa taarifa hizi tuna uelewa kama wao ama pengine tunawazidi.

Kama mapato yaliyotokana na kivuko cha MV NYERERE waliyapokea siku zote basi ni wazi kwamba walikuwa wanafahamu juu ya kivuko hicho kupakia idadi kubwa ya abiria kuliko uwezo wake , kama nauli ya abiria mmoja ni elfu 1 ( huu ni mfano tu ) basi kwa abiria 101 kinachotakiwa kupatikana ni Tsh laki 1 na elfu 1 au chini ya hapo kulingana na idadi ya abiria kwa tripu hiyo , hapa tutajumlisha na mapato yatokanayo na mizigo kulingana na tani zilizoruhusiwa kwa mujibu wa utaratibu , bila shaka rekodi zipo .

Hii maana yake ni kwamba kama serikali ilikuwa inapokea hela zaidi ya mara 3 kuliko ambayo ingepata kwa abiria 101 basi bila shaka mamlaka zilifahamu kuhusu hatari iliyojitokeza na kuuwa mamia ya wananchi , mamlaka inajua kwamba hela ilizopokea zilitokana na tripu zilizojaza abiria kuliko kiwango kinachoruhusiwa , NAMBA HAZIJAWAHI KUDANGANYA , Na kwa kweli kwa hesabu hii ni kama uchunguzi wa kamati umekwisha , maana mtungo wote wa waliohusika kupokea pesa ikiwa ni pamoja na waliozitambua wanahusika moja kwa moja .

Kwa vile kamati tayari imeundwa naiomba ije jf imsome Erythrocyte ipate pa kuanzia ambapo kimsingi ndio pa kumalizia pia .

Naomba kuwasilisha .
 
Great, watu mnafikiri mbali!
 
Hapo kinachofanyika ni kuwatoa watu kafala ili wengine wapone!!! Na hata hao wenyeviti wa bodi hizo wanaotumbuliwa ukiangalia ki undani wao sio wasimamizi wa shughuru za kila siku!!! Unakimbilia kumkamata captain ambaye siku hiyo hakuwa zamu!!! Mala fundi mkuu!!!
 
Kosa ni la kwao kwa hiyo naagiza maofisa wa juu wote wanaohusika wakamatwe, maana wakiwa bungeni ni kutuletea taarifa za mapato na matumizi huku mnajua mnaua watu alafu kesho mseme serikali ya jiwe imevunja rekodi ya makusanyo. shwain pori nyinyi
 
Hapo kinachofanyika ni kuwatoa watu kafala ili wengine wapone!!! Na hata hao wenyeviti wa bodi hizo wanaotumbuliwa ukiangalia ki undani wao sio wasimamizi wa shughuru za kila siku!!! Unakimbilia kumkamata captain ambaye siku hiyo hakuwa zamu!!! Mala fundi mkuu!!!
Kwan Captain amepona?
 
Kwanza kabisa ni lazima mamlaka za Tanzania zifahamu kwamba sisi wananchi tuna akili timamu alizotupa Mungu , ule wakati alipotuumba , lakini pia tukaongeza maarifa mengine kwa kusoma shule , hivyo wanavyotupa taarifa ni lazima watambue kwamba sisi wanaotupa taarifa hizi tuna uelewa kama wao ama pengine tunawazidi.

Kama mapato yaliyotokana na kivuko cha MV NYERERE waliyapokea siku zote basi ni wazi kwamba walikuwa wanafahamu juu ya kivuko hicho kupakia idadi kubwa ya abiria kuliko uwezo wake , kama nauli ya abiria mmoja ni elfu 1 ( huu ni mfano tu ) basi kwa abiria 101 kinachotakiwa kupatikana ni Tsh laki 1 na elfu 1 au chini ya hapo kulingana na idadi ya abiria kwa tripu hiyo , hapa tutajumlisha na mapato yatokanayo na mizigo kulingana na tani zilizoruhusiwa kwa mujibu wa utaratibu , bila shaka rekodi zipo .

Hii maana yake ni kwamba kama serikali ilikuwa inapokea hela zaidi ya mara 3 kuliko ambayo ingepata kwa abiria 101 basi bila shaka mamlaka zilifahamu kuhusu hatari iliyojitokeza na kuuwa mamia ya wananchi , mamlaka inajua kwamba hela ilizopokea zilitokana na tripu zilizojaza abiria kuliko kiwango kinachoruhusiwa , NAMBA HAZIJAWAHI KUDANGANYA , Na kwa kweli kwa hesabu hii ni kama uchunguzi wa kamati umekwisha , maana mtungo wote wa waliohusika kupokea pesa ikiwa ni pamoja na waliozitambua wanahusika moja kwa moja .

Kwa vile kamati tayari imeundwa naiomba ije jf imsome Erythrocyte ipate pa kuanzia ambapo kimsingi ndio pa kumalizia pia .

Naomba kuwasilisha .
Erythrocyte haiwezekani kwamba jamaa walikuwa wanapiga na walikuwa wanapeleka kiasi kinacholingana na abiria 101?Unaweza kusema mbona siku hizi hela zinakusanywa na mashine za kielekroniki na taarifa inakwenda right away mahali husika? Fine, lakini si unawajua wabongo?Labda hela zinakusanywa halafu taarifa inakuwa "jammed" haiendi right away. Baadae Entries za 101 zinaingizwa as usual na taarifa inapelekwa mahali husika as usual.Ni mawazo tu lakini ambayo tume iliyoteuliwa itabidi iyafanyie kazi.

Kama mtu ana jamm taarifa ya matumizi ya MB na anatumia internet bure, itakuwa taarifa za vimashine hivyo vya kielektroniki.It is possible,tena by using very simple tools.
 
Kwa vile kamati tayari imeundwa naiomba ije jf imsome Erythrocyte ipate pa kuanzia ambapo kimsingi ndio pa kumalizia pia
Hakuna shaka na hilo kila mtu atafikiwa na ataipata habari yake
Tatizo hamtaki watu watikiswe pia,bodi ya sumatra imevunjwa kaja kanjanja kuitetea,tuiache tume na serikali wafanye kazi
 
Mkuu nasubiri hii tume ya Waitara , wakileta siasa nitawasilisha uchunguzi wa wananchi hapahapa jf
Jenerali Waitara hajawahi kuharibu kazi popote
Kuna mbunge toka chadema
Kuns DSM zonal crimes officer
kuna mtendaji mkuu wa zamani wa Temesa
Kuna mwanasheria
kuna mtu toka idara ya maafa
kuna mwanamke mtetezi wa haki za wanawake
Naamini mbivu na mbichi zitajulikana tu
 
Jenerali Waitara hajawahi kuharibu kazi popote
Kuna mbunge toka chadema
Kuns DSM zonal crimes officer
kuna mtendaji mkuu wa zamani wa Temesa
Kuna mwanasheria
kuna mtu toka idara ya maafa
kuna mwanamke mtetezi wa haki za wanawake
Naamini mbivu na mbichi zitajulikana tu. Hii tume ninaikubali kiukweli, hapa busara ya hali ya juu iliyotumika bila ya upendeleo!
 
Kwenye hili janga "dagaa" watapata tabu kwelikweli, watabeba adhabu za mabosi wao na watashughulikiwa kwelikweli ili kuonyesha serikali haitaki mchezo, mbaya zaidi wale ambao ndio ilibidi washughulikiwe watajitahidi kwa nguvu zote kuwashughulikia hawa dagaa
 
Erythrocyte haiwezekani kwamba jamaa walikuwa wanapiga na walikuwa wanapeleka kiasi kinacholingana na abiria 101?Unaweza kusema mbona siku hizi hela zinakusanywa na mashine za kielekroniki na taarifa inakwenda right away mahali husika? Fine, lakini si unawajua wabongo?Labda hela zinakusanywa halafu taarifa inakuwa "jammed" haiendi right away. Baadae Entries za 101 zinaingizwa as usual na taarifa inapelekwa mahali husika as usual.Ni mawazo tu lakini ambayo tume iliyoteuliwa itabidi iyafanyie kazi.

Kama mtu ana jamm taarifa ya matumizi ya MB na anatumia internet bure, itakuwa taarifa za vimashine hivyo vya kielektroniki.It is possible,tena by using very simple tools.
Umenena mkuu.
Kamati inatakiwa iwe makini hapo.

Waanze na mapato ya siku ya tukio kurudi nyuma. Wakiona yalikuwa yanasoma watu 101 kushuka chini basi kulikuwa na ufisadi.

Mapato yakiwa zaidi ya watu 101 basi lawama zitarudi kwa viongozi wakuu wa hii wizara.
Wanashindwaje kuzuia kivuko kupitisha idadi ya watu na mizigo wakati wanayaona yote hayo electronically???
 
Erythrocyte haiwezekani kwamba jamaa walikuwa wanapiga na walikuwa wanapeleka kiasi kinacholingana na abiria 101?Unaweza kusema mbona siku hizi hela zinakusanywa na mashine za kielekroniki na taarifa inakwenda right away mahali husika? Fine, lakini si unawajua wabongo?Labda hela zinakusanywa halafu taarifa inakuwa "jammed" haiendi right away. Baadae Entries za 101 zinaingizwa as usual na taarifa inapelekwa mahali husika as usual.Ni mawazo tu lakini ambayo tume iliyoteuliwa itabidi iyafanyie kazi.

Kama mtu ana jamm taarifa ya matumizi ya MB na anatumia internet bure, itakuwa taarifa za vimashine hivyo vya kielektroniki.It is possible,tena by using very simple tools.
Hilo nililiona lakini nikajaribu kutafakari nikagundua kwamba hakuna siri ya watu 70
 
Mkuu sio lazima wawe sabini.Kwa case hii Mhandisi,Technician wa kivuko,Mhasibu, Cashier,Captain wa kivuko na Meneja wa kivuko, ndio core people.Hawa wanaweza kufanya hiyo Bingo ikawezekana.
 
Kila wasiwasi ndio akili yenyewe , shukrani kwa kuleta fikra mpya
 
Back
Top Bottom