Kamata Kamata ya JF itaendelea chombo kikimilikiwa na mwanahisa mmoja!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,660
15,744
Just imagine kuwa kama Maxence Melo angeuza hisa zake DSE, na watu elfu hamsini wakajitokeza kununua hisa... Je mambo yakibuma huku wangeweza kukamata wanahisa wote na kuwasweka ndani?
Hizi rabsha rabsha zikiendelea namshauri kaka Melo kuuza hisa DSE ili polisi wakose wa kumkamata...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom