Kamasi

epigenetics

JF-Expert Member
May 25, 2008
269
80
JF thinkers. Hivi:

1. Kwanini pua inatokwa na 'kamasi' pale unapokula chakula chenye pili pili? (inanitokea mimi, na huwa si mpenzi wa pilipili sasa sijui kama hii ni kweli kwa waliozoea vyakula vya pilipili)

2. Kwanini watoto wanapenda kuingiza kidole puani na kulamba? (I know it is disgusting but I am just wondering)

Unaweza kufikiria ni kwasababu gani 'this is the case physiologically? Is there a possible advantage to the being that you can think of?
 
kwa ni mtoto tu anyeingiza kidole puani? mbona watu wakubwa wengi tu wanaingiza vidole puani ila hawalambi na wewe ni mmoja wapo. watoto wanalamba kwa ajili ya ile chunvichunvi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom