Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
SERA ya Ujamaa na Kujitegemea iliyoasisiwa na hayati Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1967 ililenga kuthamini utu, kuleta umoja na mshikamano Tanzania.
Leo hii ukizungumzia sera hii ya Ujamaa watu watashangaa na kuona umepitwa na wakati.
Japokuwa Katiba yetu (ya mwaka 1977) inaeleza Tanzania ni nchi ya Kijamaa na misingi ya Ujamaa inaainishwa vizuri, lakini sivyo ilivyo kiuhalisia kwani, Tanzania ...
Kwa habari zaidi, soma hapa => Kamari za mpira, unyonyaji mpya uangamizao vijana | Fikra Pevu