Kamara Kusupa: Rais amepata wa kuendana naye. Je, ataacha kulalama?

Nimeamini kweli Mungu yupo na maandiko yake ni hakika na kweli!

Mungu hakuwa kichaa kusema mwanamke awe chini ya mwanaume!

Yeye ndiye Muumbaji wao anawatambua vizuri uwezo wao mdogo aliowapa!

Sisi wanadamu ni nani kujiona kuwa tunao ufahamu kumzidi Mungu?

Leo Rais anaona kuwa Ridhiwan ana hadhi na heshima ya nafasi kuliko hata Lukuvi?

Ila sishangai

Iwapo baba ndiye ana rimoti, huenda kumuacha kijana wake nje imekuwa ngumu!

Nawaza Jambo hapa, Japo Majaliwa nae amekuwa kimya sijui iwapo uongozi umekuwa mtamu kwake ila

Je, Majaliwa akiandika barua ya kujiweka pembeni kisha aseme hadharani kuwa HANA IMANI NA UONGOZI ULIOPO NA YALE YANAYOENDELEA KWA SASA!

Madhara yakuwaje hasa?
Vinginevyo tuombe corona irudi kwa aliyeshika rimoti na Chief!
coz nakufunga kote safari hadi New York
alijua kabisa kuwa Biden Japo picha tu wangepiga wote!
Kumbe wengine wanatazama heshima yao zaidi!
Akamtosa Chief haha karudi amenywea kama alikutana na mvua on her way!

Kifupi tuliomchoka ni wengi mnoooo
Japo wapo wanaomsifia pia!

Najiuliza
Je, hizi hasira na gadhabu hitakuwepo hadi 2025?
coz ndiyo kwanza 2022
Watz huwa tunawahi kubadilika sana!
 
Kungekuwa na ulazima wa kuwa Waziri unaibu wizara ya michezo ingemfaa sana Riz lkn siyo ardhi jamani
 
Binafsi sielewi Rais anataka kutuaminisha nini kwa kuteua watu walioondolewa kwa aibu na mwendazake.Pia uteuzi wa Ridhwani aangalie upya watanzania wanalalamika kuwa kwa sasa JK anaendesha nchi kwa rimoti.kwahiyo anapomteua Kijana wake ndio anaharibu zaidi nchi inaenda kuwa ya kifalme.Nape alisema chama kina wenyewe na wenyewe ndio hao wanachaguana.
2025 watajichagua wennyewe wenye chama chao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mimi pia nilishangazwa na kusikitishwa sana na kitendo cha Samia kumwambia Mange "nafurahi kukuona," mtu ambae alichangia mhisani wake aliyempa Urais, John Pombe, kufa kwa magonjwa ya umeme wa moyo.

Lakini pia niseme uongo wako mwingine uliotuchanganyia humo unatia kichefuchefu na umekuondolea credibility.

Sniper wa kisukumu alikuwa gorofani na bunduki lake anasubiri kumtungua Nyerere, askari wa Usalama wakapata taarifa za kiinteligensia, wakamfata wakamnasihi ashuke chini taratibu tu akamueleze Nyerere kero zake na maisha yakaendelea! Biggest lie in freaking history.
 
Wewe ni legend wa ukweli mzalendo wa ukweli, vipi maoni yako kuhusu maoni ya Ndugai n.a. kujiuzuru kwake naomba maoni yako kwa andiko natamani useme neno naona Hii simulizi inawasha taa
Hongera sana mleta mada. Upo sawasawa. Endelea kutuletea mijadala mizito hv, itasaidia kizazi hiki kupevuka.
 
Wote wawili ni kama hii historia imewapita pembeni kidogo. Wacha na mimi niwape historia ninayo ijua,

Mgonja mwaka 1980 alishinda ubunge ila mpinzani wake akakata rufaa. Mahakama kuu mgonja akashinda Lakini mahakama kuu ya rufaa akashindwa na kuambiwa haruhusiwi kugombea ubunge kwa miaka 10.
Mwaka 1983 Nyerere akamteua kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga. Wakati huo ukiwa mkuu wa mkoa ulikuwa unakuwa mbunge pia.
Watu mbalimbali wakamkosoa Nyerere kwamba amevunja katiba. Nyerere akawa msikivu na akatengua ukuu wa mkoa wa Mgonja.

Waliomshauri Nyerere ni Sinde Warioba aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali na Sokoine ambaye alikuwa waziri mkuu.

Nyerere akasikiliza ushauri wao na kutengua uteuzi wa Mgonja.
Asante mkulima. Safi sana. Vijana tunapenda wazee wetu
 
Nikirejea hali ya Bunge letu, jana alihojiwa mzee Msekwa kwamba ni halali wabunge wanaoitwa wa chadema wale 19 kuwepo bungeni?alijibu kimachale sana kwamba yeye alimfuta Mrema kuwa Mbunge alipofutwa na nccr . Lkn hakutaka kuongelea hili la kina Halima Mdee
 
Na mimi pia nilishangazwa na kusikitishwa sana na kitendo cha Samia kumwambia Mange "nafurahi kukuona," mtu ambae alichangia mhisani wake aliyempa Urais, John Pombe, kufa kwa magonjwa ya umeme wa moyo.

Lakini pia niseme uongo wako mwingine uliotuchanganyia humo unatia kichefuchefu na umekuondolea credibility.

Sniper wa kisukumu alikuwa gorofani na bunduki lake anasubiri kumtungua Nyerere, askari wa Usalama wakapata taarifa za kiinteligensia, wakamfata wakamnasihi taratibu ashuke tu chini akamueleze Nyerere kero zake na maisha yakaendelea! Biggest lie in freaking history.
Hahahaaaa, weee jamaaa hujaelewa au??
 
Nikirejea hali ya Bunge letu, jana alihojiwa mzee Msekwa kwamba ni halali wabunge wanaoitwa wa chadema wale 19 kuwepo bungeni?alijibu kimachale sana kwamba yeye alimfuta Mrema kuwa Mbunge alipofutwa na nccr . Lkn hakutaka kuongelea hili la kina Halima Mdee
Aliogopa kumkwaza Prezidaa.
 
Huyu mama si ajiuzuru tu.
Hiyo nafasi haiwezi..
Watz tumekuwa watu wa ajabu sana
Anabakia kutafuta reasons za ku defend kukopa kopa. Ameua Malaki ya ajira za viana waliokuwa wamejiajiri kwa vibanda vya miamala ya simu. Saivi wateja sio wengi wa kutuma Wala kutoa ,yaani ni benki na subiria siku mtu akina huko atakuja nayo. Yaaani alfu 50 unapata 45k alfu tano nzima ambayo unanunua mahitaji kibao ya ndani inaliwa na wajanja na wasomi feki kuwa hakuna mwananchi atakayelipa ilo Deni.

Wajasiriamalia wadogo walikuwa wanatumiana hela za biashara zao ndogondogo Ila saivi ni kaaa la Moto
 
Nimeamini kweli Mungu yupo na maandiko yake ni hakika na kweli!
Mungu hakuwa kichaa kusema mwanamke awe chini ya mwanaume!
Yeye ndiye Muumbaji wao anawatambua vizuri uwezo wao mdogo aliowapa!
Sisi wanadamu ni nani kujiona kuwa tunao ufahamu kumzidi Mungu?

Leo Rais anaona kuwa Ridhiwan ana hadhi na heshima ya nafasi kuliko hata Lukuvi?
Ila sishangai
Iwapo baba ndiye ana rimoti, huenda kumuacha kijana wake nje imekuwa ngumu!

Nawaza Jambo hapa, Japo Majaliwa nae amekuwa kimya sijui iwapo uongozi umekuwa mtamu kwake ila
Je, Majaliwa akiandika barua ya kujiweka pembeni kisha aseme hadharani kuwa HANA IMANI NA UONGOZI ULIOPO NA YALE YANAYOENDELEA KWA SASA!

Madhara yakuwaje hasa?
Vinginevyo tuombe corona irudi kwa aliyeshika rimoti na Chief!
coz nakufunga kote safari hadi New York
alijua kabisa kuwa Biden Japo picha tu wangepiga wote!
Kumbe wengine wanatazama heshima yao zaidi!
Akamtosa Chief haha karudi amenywea kama alikutana na mvua on her way!

Kifupi tuliomchoka ni wengi mnoooo
Japo wapo wanaomsifia pia!

Najiuliza
Je, hizi hasira na gadhabu hitakuwepo hadi 2025?
coz ndiyo kwanza 2022
Watz huwa tunawahi kubadilika sana!
Kaka unafurahisha sana,hivi unajua majaliwa alipotokea.Majaliwa aliwekwa katika nafasi hiyo ya Uwaziri Mkuu lengo lilikuwa Kupata taarifa za inside na kuziwasilisha kwa akina Kikwete.

Aliye muweka Majaliwa kuwa halo ni Kikwete,na ana undugu na SALMA Kikwete.tafuteni historian za watu.
 
Juu umrandika vizuri kuhusu Nyerere ila chini umeandika UPUMBAVU.

Rais Samia hakufanya mkutano wowote au kukutana na Mange Kimambi kwamba alitaka kukutana naye.

Ila yeye alienda NY kwa mambo mengine na aliposhuka uwanja wa ndege akakuta kuna watanzania wanamsubiri.

Kwahiyo ulitaka Rais amkimbie au atumie wanajeshi kukataa kupiga picha na Mangi kwasbabu ni mtukanaji.

Kwamba huo utukanaji wa Mange unamfanya asiwe mtanzania?

Ukiwa na mtoto mkorofi unamkataa?

Na huo unaosema eti ni ujumnr wa Biden ni uoumbavj na propaganda za kina Lema na Boni Mayai ambazo hata hazina ukweli.

Kwanza Biden ni mzee sana kama Mwinyi hiyo nguvu ya kukutana na wageni anaitoa wapi?

Unatumia propaganda uchwara kujenga hoja yako ya kipumbavu kweli. Umetemwa kwenye TEUZI mpya nini?

😂😂😂😂😂😂😂🤔🤔🤔🤔
 
Wote wawili ni kama hii historia imewapita pembeni kidogo. Wacha na mimi niwape historia ninayo ijua,

Mgonja mwaka 1980 alishinda ubunge ila mpinzani wake akakata rufaa. Mahakama kuu mgonja akashinda Lakini mahakama kuu ya rufaa akashindwa na kuambiwa haruhusiwi kugombea ubunge kwa miaka 10.
Mwaka 1983 Nyerere akamteua kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga. Wakati huo ukiwa mkuu wa mkoa ulikuwa unakuwa mbunge pia.
Watu mbalimbali wakamkosoa Nyerere kwamba amevunja katiba. Nyerere akawa msikivu na akatengua ukuu wa mkoa wa Mgonja.

Waliomshauri Nyerere ni Sinde Warioba aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali na Sokoine ambaye alikuwa waziri mkuu.

Nyerere akasikiliza ushauri wao na kutengua uteuzi wa Mgonja.
Sasa hivi kwenye mitandao watu wanamtukana Nyerere na kumwita majina maovu, wengine wanaenda mbali eti alikuwa katili zaidi ya Idd Amin...!!

Mwalimu alikuwa mwanasiasa na kiongozi wa kipekee! Sio haya matakataka ya siku hizi
 
Umeandika mengi sana lakini chanzo cha hayo yote ni ubovu wa Katiba ilioyopo! Kwa sasa huwezi kudhibiti nguvu za mtu anayeitwa RAIS WA TANZANIA.
 
Umeandik vyema ila Rais huteua watu anaoamini watamsaidia. Ridhiwani ni mmoja wao. Kikatiba utendaji wa Serikali uko kwa Rais na anaweza kukasimu madaraka kwa Waziri au watendaji wengine. Muda ndo utatuambia ama Ridhiwani anafaa au hafai.
 
Back
Top Bottom