Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,173
- 27,223
Pumbav zako, sasa mbona ulisema ni mmoja?Uliona kijiji cha ma askari kile?utazan vita ya kagera kumbe mtu mbili tu
Pumbav zako, sasa mbona ulisema ni mmoja?Uliona kijiji cha ma askari kile?utazan vita ya kagera kumbe mtu mbili tu
Yaani huyu kamanda utadhani ana undugu na Manara wa Simba. Anatukama mamba woote wakati hajakanyaga maji. Manara jifunze kuongea kwa kutumia kichwa.Anatamba saana,kuna siku pia walikuta silaha kwa mwalim mmoja huko manyara,alitamba utazan kamkamata osama
Sawa Kungwi wa JFBado tu unatumia haka kamsemo.?nipo hapa kitambo kabla haijaitwa jf.ujuaji ndio unakufanya umuone kila mtu mjuaji
Ilikuwaje mkuu kwa hao wafanya biashara??? Uzi wake upo huku unisaidie link nikausome???!
!
Unaweza Kukuta Maelezo Ni Tofauti Na Uhalisia. Si Mnakumbuka Ya Wafanyabiashara Wa Mahenge Enzi Zile?
si ndo waliokuwepo mkuu au??Sio kweli.walikua wawili tu
Labda ila mzee anajua kutamba banaKomando kipensi alikalisha kikosi kizima cha jeshi, au Rambo Bloodsport 1 porini alisumbua zaidi ya mwezi kuanzia jeshi hadi polisi. Japo ni sanaa ila huwa zinauhalisia.
Yule mzee hajasema kama kile kikosi chote kimetoka kupambana na adui hao usimsingizie mkuu.
Aaha wafanyabishara gani wana silaha za kivitaa????Ilikuwaje mkuu kwa hao wafanya biashara??? Uzi wake upo huku unisaidie link nikausome???
JF raha sana 7bu kila Mtu ni msomi, tajiri, mfanyabiaehara mkubwa, Mtu maarufuShule umemaliza lakini
Katika taarifa ya habari ITV ya sa2 ,nmekutana na habari kwamba kikosi cha polisi kimepambana na majambazi piga nikupige kwa dakika 70 yani lisaa limona na dakika 10.kazi nzuri
Kilichonisikitisha ni kamanda kuongea kwa mbwembwe na kujitapa sana kuwa ile piga nikupige,nikupige piga kwa dakika 70.
Cha ajabu jambazi mwenyewe ni mmoja na amekamatwa na silaha moja na risasi 26 tu.yani muda wote huo kumbe kamtu kalikua kamoja tu halafu kamanda anatamba
Uliona kijiji cha ma askari kile?utazan vita ya kagera kumbe mtu mbili tu
Duh hiyo stori naiskia tu, nilkua kinda sana enz hzo
!Ilikuwaje mkuu kwa hao wafanya biashara??? Uzi wake upo huku unisaidie link nikausome???