Kamanda wa Polisi Arusha kanisikitisha

Oxpower

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,139
2,991
Katika taarifa ya habari ITV ya sa2 ,nmekutana na habari kwamba kikosi cha polisi kimepambana na majambazi piga nikupige kwa dakika 70 yani lisaa limona na dakika 10.kazi nzuri

Kilichonisikitisha ni kamanda kuongea kwa mbwembwe na kujitapa sana kuwa ile piga nikupige,nikupige piga kwa dakika 70.

Cha ajabu jambazi mwenyewe ni mmoja na amekamatwa na silaha moja na risasi 26 tu.yani muda wote huo kumbe kamtu kalikua kamoja tu halafu kamanda anatamba
 
Subiri siku ufe wewe ktk hayo mapambano ya piga nikupige ili naye asikitike
Katika taarifa ya habari ITV ya sa2 ,nmekutana na habari kwamba kikosi cha polisi kimepambana na majambazi piga nikupige kwa dakika 70 yani lisaa limona na dakika 10.kazi nzuri

Kilichonisikitisha ni kamanda kuongea kwa mbwembwe na kujitapa sana kuwa ile piga nikupige,nikupige piga kwa dakika 70.

Cha ajabu jambazi mwenyewe ni mmoja na amekamatwa na silaha moja na risasi 26 tu.yani muda wote huo kumbe kamtu kalikua kamoja tu halafu kamanda anatamba
 
Uliona kijiji cha ma askari kile?utazan vita ya kagera kumbe mtu mbili tu
Komando kipensi alikalisha kikosi kizima cha jeshi, au Rambo Bloodsport 1 porini alisumbua zaidi ya mwezi kuanzia jeshi hadi polisi. Japo ni sanaa ila huwa zinauhalisia.

Yule mzee hajasema kama kile kikosi chote kimetoka kupambana na adui hao usimsingizie mkuu.
 
Anaitwa jambazi kwa kuwa amekamatwa kwenye mazingira ya ujambazi ila unaweza kuta ni mjuzi wa silaha sana so mapigano

Back
Top Bottom