Kamanda wa Polisi Arusha: Gari la mbunge halikushambuliwa kwa risasi bali kitu chenye ncha kali

Subira the princess

JF-Expert Member
Mar 3, 2018
2,466
2,642
Wasalam, Rejea gari la mbunge chadema lashambuliwa kwa risasi.
Amesema limeshambuliwa na watu wasiojulikana lakini namba za gari wanazo hivyo wanaendelea kuwatafuta watu hao wasiojulikana. Amesema eneo la tukio hakukua na ganda la risasi walilookota. Chanzo ITV
 
Absolutely logic, haiwezekani risasi kupigwa gari tairi mbili za upande mmoja zikapasuka , unless sharpshooters wakalenga tyres wakiwa upande mmoja wa ubavuni. Na kama ni sharp shooters na nia nikumua wangelenga watu.

La kujiuliza jee ni kwanini wameekewa vitu vyenye ncha kali , waliwasimisha wakagoma na kupitiliza, kwa nini waligoma kusimama kama walisimamishwa. Jee hivyo vya ncha kali waliwekewa kimaficho?

Hayo ndio yakuuliza sio kila kitu uongo na dhana za kitoto, ni wajibu tuu base hoja zetu kiakili.
 
Wasalam, Rejea gari la mbunge chadema lashambuliwa kwa risasi.
Amesema limeshambuliwa na watu wasiojulikana lakini namba za gari wanazo hivyo wanaendelea kuwatafuta watu hao wasiojulikana
Wanajua sana lkn kwakuwa ni washirika hawatawapata ndo imetoka hiyo ila hakuna marefu yakakosa ncha
 
Wasalam, Rejea gari la mbunge chadema lashambuliwa kwa risasi.
Amesema limeshambuliwa na watu wasiojulikana lakini namba za gari wanazo hivyo wanaendelea kuwatafuta watu hao wasiojulikana

Ni upuuzi na na uendawazimu kwa kuwa mwenyekiti nae kichaa
 
Absolutely logic, haiwezekani risasi kupigwa gari tairi mbili za upande mmoja zikapasuka , unless sharpshooters wakalenga tyres wakiwa upande mmoja wa ubavuni. Na kama ni sharp shooters na nia nikumua wangelenga watu.

La kujiuliza jee ni kwanini wameekewa vitu vyenye ncha kali , waliwasimisha wakagoma na kupitiliza, kwa nini waligoma kusimama kama walisimamishwa. Jee hivyo vya ncha kali waliwekewa kimaficho?

Hayo ndio yakuuliza sio kila kitu uongo na dhana za kitoto, ni wajibu tuu base hoja zetu kiakili.
Hapa unajiona mjanja mwenyewe hata gobore hujawahi kushika unaishia kuiona kwenye Movie halafu hapa unajikuta mchambuzi fyongo wa mambo silaha

Angalia hilo jiko lako la mchina halina hata mafuta taa unapiga mihayo tu kwa njaa

Lumumba mtawaua hawa watu ongezeni hiyo buku saba
 
Hahahaha Asante kijana, umenifurahisha, ujinga pia unachekesha.
 
Back
Top Bottom