Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Viongozi wa Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo FARDC waomba kamanda wa waasi wa kundi la M23 Makenga kujisalimisha mara moja kwa jeshi la serikali la sivyo ataoneshwa kwa raia akiwa hai ama akiwa ndani ya jeneza kauli ambayo imetolewa na jenerali FRANCAA OLENGA ambaye ni kiongozi wa jeshi katika makao ya Rais Kongo DRC Bwana. Joseph Kabila.