Kamanda wa Iran: Waisrael warudi kwao Ulaya na Marekani kabla nyumba hazijapanda bei

Iran hana lolote ni kama mwanamke anaetafuta bwana kinguvu... Kama anaweza mziki wa wayahudi basi arushe hata jiwe siku hiyo ndo utajua...ila Punguza mahaba kuna mimba natamani nijue jisnia yako mkuu
wewe noma sana mkuu, huyu hajui wayahudi ni kina nani, uliona zile wakisirikiana na marekani walimuua generali qassam mkuu ya hii quads ? watu wengine wanaropoka ovyo ovyo
 
Ndo maana uko nyuma nimesema una double standards.
Ikiwa unaona waarabu waliopo Africa ya magharibi wana haki ya kuwa hapo wakati history na ushahidi inawakataa.. Ni vipi uchukie wayaudi kuwa hapo walipo?
Mtume Muhammad(S. A. W) kawapelekea injiri wayaudi wakiwa hapo Yerusalemu, Qur'an inawatambua, historia etc ni vipi we usiwatambue?.
Hiyo ni ardhi yao, ukitaka kupinga ili mpinge mtume kwanza Kabla ya kupinga wengine.

Hebu tofautisha kati ya wavamizi kwenye ardhi ya wapalestina na kuikalia kimabavu, na isitoshe wanaendelea kula ardhi kana kwamba ardhi ni yao wakati wao ni wavamizi.. ukicompare na waliokimbia vita, na hawakuingia nchi za watu kimabavu, na kujimegea ardhi wakati wao ni wageni na muda wowote watarejea nchi zao.

Sasa utasema hapo mvamizi ni nani kati ya waisrael na walibya, syria n.k!!!
 
Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema wakati umefika kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kuondoka katika ardhi za Wapalestina unaozikalia kwa mabavu haraka iwezekanavyo.
akili matope!! mtabokolewa kipigo cha mbwa koko - jaribuni muone !!
 
Brigedia Jenerali Qaani: Wazayuni waondoke mara moja katika ardhi za Wapalestina.

Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema wakati umefika kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kuondoka katika ardhi za Wapalestina unaozikalia kwa mabavu haraka iwezekanavyo.

Brigedia Jenerali Ismail Qaani amesema hayo leo Jumamosi hapa mjini Tehran, katika kumbukumbu za kuadhimisha Arubaini ya Brigedia Jenerali Mohammad Hosseinzadeh Hijazi, aliyekuwa Naibu Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH ambaye aliaga dunia mwezi Aprili mwaka huu akiwa na umri wa miaka 65, kutokana na mshtuko wa moyo.

Brigedia Jenerali Qaani ameeleza bayana kuwa, Wazayuni wanapaswa kuondoka na kuzikabidhi ardhi walizozighusubu kwa Wapalestina, na warejee makwao huko Marekani na Ulaya. Amesema, "Nawashauri Waisraeli ambao waliuza majumba yao huko Marekani na Ulaya na kwenda Palestina, warejee walikotoka kabla ya bei za majumba hayo hazijaongezeka maradufu."

Baadhi ya makombora ya harakati ya muqawama ya HAMAS.

Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la SEPAH la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran amebainisha kuwa, utawala haramu wa Israel hauwezi tena kulemaza mapambano ya Wapalestina kwa risasi na silaha, na kwamba kambi ya muqawama inazalisha silaha zote inazohitaji ndani ya maeneo yake ya kijiografia, yakiwemo makombora 3000 iliyoyavurumisha kuelekea Israel katika vita vya siku 12 vya hivi karibuni.

Hapo jana pia katika mahojiano na televisheni ya al-Masirah, Brigedia Jenerali Ismail Qaani alisema kuwa, bwabwaja na vitisho vya Wazayuni si kitu kingine bali upumbavu, kwa kuwa hivi karibuni tu Ukanda wa Gaza ambao uko chini ya mzingiro wa miaka mingi wa Israel ulitoa pigo kubwa kwa utawala huo pandikizi.

Ameongeza kuwa, " ni uongo kudai kuwa hakuna anayeweza kuushinda utawala wa Kizayun, hivyo vitisho vya shirika la kijasusi la utawala wa Kizayuni Mossad vya eti linaweza kuanzisha vita dhidi ya Iran, hususan baada ya kushindwa na muqawama wa Wapalestina, ni upuuzi tu."

Mzinga umeandikwa "Gwasuma" ndiyo upige na kuisambaratisha Israel ha ha ha
 
wewe noma sana mkuu, huyu hajui wayahudi ni kina nani, uliona zile wakisirikiana na marekani walimuua generali qassam mkuu ya hii quads ? watu wengine wanaropoka ovyo ovyo

Kwanini wamuuwe!!! Wanashindwa nini kuifesi iran ili tuone kama wao ni vidume!!! Kazi kupiga Kelele 🤣🤣 baada ya kifo cha qassam nini kilitokea kwenye kambi zao huko iraq?
 
Simple question, na umeshindwa kujibu.

Unasema muanzishe kampeni ya kudai hao waturki wa misri, Libya, Tunisia etc warudi kwao.. je! Wanaishi wapi kwa sasa,, ama bara gani mpaka useme warudi kwao!!! Funguka!

Kwan hao mnaolalamikia warudi kwao ulaya na amerika , kwan sasa hv wanaishi wapi?
 
Kwan hao mnaolalamikia warudi kwao ulaya na amerika , kwan sasa hv wanaishi wapi?

Hebu tofautisha kati ya wavamizi kwenye ardhi ya wapalestina na kuikalia kimabavu, na isitoshe wanaendelea kula ardhi kana kwamba ardhi ni yao wakati wao ni wavamizi pale.. sasa ukicompare na waliokimbia vita, na uzuri hawakuingia nchi za watu kimabavu, na kujimegea ardhi while wao ni wageni n anytime watarejea nchi zao.

Sasa utasema hapo mvamizi ni nani kati ya waisrael na walibya, syria n.k!!!
 
Mzinga umeandikwa "Gwasuma" ndiyo upige na kuisambaratisha Israel ha ha ha
Watoto wa Yakobo wanazo silaha ambazo siku wakizitoa, dunia itatetemeka. Yamkini watakusanyana (Kama walivyofanya 1967),kama sio kwa shauri la Yehova wote watakao kusanyana watapondwa kipondo cha mbwa koko.
 

In the past several hours zionist media have reported that:

1) Shia leader Seyed Hassan Nasrallah has passed away from covid
2) Israel is on the verge of attacking Iran as Netanyahu prepares to leave office

Meanwhile axis of resistance: https://t.co/4pKamZ2WMr
 
Israel ikiwaonea huruma magaidi wao ndio wanachukulia point... kila mtu anapigwa kulingana na nguvu zake.. Israel ashindwe na Gaza? Pumbavu sana huyo domo kaya.. siku uongozi wa Ayatollah ukiisha akili za wairan zitarejea maana now ni sawa na raia wa Meko viongozi media kila kitu meko meko mabeberu n.k kaendazake akili zinarudi hadi spika anashangaa sheria za uonevu zilipitaje bungeni..

Irani wajipe moyo kuwa Israel wanaiweza and then kifuatacho ITV atakijua.. awajaze ujinga hao Islamic groups waendelee kuuwawa tu.. wao ndio walikuwa mstari wa mbele kuomba Israel iache kutembeza kichapo huku pia wanawasifia magaidi
Kuanzia Israel ianze kupiga kelele,toka lini umeona imethubutu kumgusa Iran? Persia (Iran) ndo wababe wa toka enzi na enzi eneo Hilo lote. Marekani mwenyewe alijaribu fyoko akimtumia Iraq..zilipigwa miaka zaidi ya 8 mpaka akachoka akaacha mwenyewe..ndo kanchi kama Israel ndo kaipige Iran! Unachekesha wewe..au hujui unaongelea nini
 
Back
Top Bottom