Kamanda Sirro: Ninapigiwa simu usiku wa manane na wanawake

Amesema kuna wanawake wengine wakiona amependeza kwenye tukio fulani, wanajua lazima atakuwa na pesa za kuwasaidia katika maisha yao hivyo wakati mwingine humpigia usiku, na yeye akidhani kuwa ni taarifa za uhalifu, lakini hukutana na vishawishi vikiambatana na sifa kedekede."Mwigine anaweza kukupigia simu tu usiku, kama unavyojua hawa wadada wa mjini, wakiniona wanajua niko vizuri, mwingine anakupigia anakuambia mzee tulikuona umevaa kofia vizuri, mjini kuna namna nyingi ya kuishi"


Mtu mwema na mbaya wote vinywa vyao huyanena yale yajazayo mioyo yao
 
Kamanda wa polisi mkoa wa Dar Simon Sirro alipokuwa akihojiwa na EA radio alizitaja changamoto za kazi yake ikiwamo uzembe wa maafisa w chini wa polisi ambao wakiwajibishwa wanaona kama wameonewa
Pia amedai kuna wadada wanampigia simu sana usiku kwa kuwa wanamuona ni mtu mwenye hela wakitaka mahusiano naye

 
Anataka tumsaidie nini sasa! Kwani kazi yake ni nini.Fanya kazi kamanda acha visingizio
 
huyu mzee hana busara kiasi hichi!?

Habara za kupigiwa simu na wanawake kulikuwa na haja gani kuzitangaza?
 
mheshimiwa kwa nini unachezea allowance zako ivyo?
usije ukalalamika jiongeze njia nyeupe iyo.
 
Back
Top Bottom