The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,448
- 17,147
Suub-han-allah!Ngoja nikamlipie mahari huyo binti mdogo wa Siro... Huyo atanifaa sana kwa matumizi...
Dah! Nataman wakuu wa majeshi haya wangekuwa jwtz - Davis mwamunyange, polisi IGP sirro, na operation congo brigadia Mwakibolwa..
Vzr sana Askar wakike mmekaa kikamanda kwelikweli
Hao kazi yao ni kuleta morali kwa makamanda
Kwakweli huko Kongo wanao pambana kwa masaa 13 bila msaada ilitakiwa wawasiliane na dar es salaam wapate usaidizi pasipo kupitia UN pengine roho baadhi zingeokolewa. Kwenye hili UN ilitakiwa kupewa taarifa tu na ku comply na yaliyo jiri huku ikikubali kuwa ni mipango yake. Binafsi nalilaumu jeshi letu la kwa kuruhusu hayo yatokee, masaa 13!!!.......ni mengi sana wakati mapigano yapo nchi ya jirani tu. Sasa tungetegemea nini kama majeshi yangekuwa bara jingine?????. Tusije kugeuka na kuwa na jeshi la la wacheza ndomboro kama la kongo.Dah! Nataman wakuu wa majeshi haya wangekuwa jwtz - Davis mwamunyange, polisi IGP sirro, na operation congo brigadia Mwakibolwa..
Hakika yasingetokea yanayotokea sasa, mm kama raia mkakamavu niliyepitia mafunzo ya kijeshi nautambua umuhimu wa hawa jamaa kwenye kuongoza hizi idara
Nimeipenda sana hii nidhamu ya silaha kwa hawa mabinti. Tizama kidole cha pili baada ya kidole gumba kilivyonyooka.
Wanaume mnaumwaHivi kwanini mwanamke akiwa katikauniform huwa anazidimvuto?
Uniform yoyote, ya mwanajeshi, ya nesi etc.