Kamanda Nzowa ajitokeza, ataja mchungaji anayejihususha na dawa za kulevya

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Kamanda Nzowa wa kikosi cha kuzuia madawa ya kulevya amejitokeza na kumtaja Mch. Kuchupu Denis Okechuku wa kanisa moja la 'kiroho' lililopo maeneo ya Kinondoni Biafra, kuwa ni mmoja wa wachungaji wanaotuhumiwa kujihusisha na madawa ya kulevya. Amesema akiwa pamoja na watu wengine mchungaji huyo alikamatwa na kilo 81 za cocaine mapema mwaka huu, na kuwa katika pile ya watuhumiwa wa matukio mbalimbali ya madawa ya kulevya, wapo pia viongozi wengine kadhaa wa kidini, ambao watatajwa baadae.

Source; Channel ten (Kipindi cha Baragumu leo asubuhi)
 
Kamanda Nzowa wa kikosi cha kuzuia madawa ya kulevya amejitokeza na kumtaja Mch. Kuchupu Denis Okechuku wa kanisa moja la 'kiroho' lililopo maeneo ya Kinondoni Biafra, kuwa ni mmoja wa wachungaji wanaotuhumiwa kujihusisha na madawa ya kulevya. Amesema akiwa pamoja na watu wengine mchungaji huyo alikamatwa na kilo 81 za cocaine mapema mwaka huu, na kuwa katika pile ya watuhumiwa wa matukio mbalimbali ya madawa ya kulevya, wapo pia viongozi wengine kadhaa wa kidini, ambao watatajwa b

Source; Channel ten (Kipindi cha Baragumu leo asubuhi)

Aiseee.. katumwa kutaja? mbona ikulu jana walisema anayejihisi ajitokeze?

By the way hilo jina sio la pande hizi za africa bana..
 
Ha ha ha Mtajibu mapigo mpaka mchoke mwaka huu. Haya tunasubiri orodha nyingine na saa 48 hazijaisha
 
Hili ndio lililotakiwa tangu mwanzo la kumtaja mtu moja kwa moja kuliko kusema viongozi wa dini...., kundi la watu haliwezi kushutumiwa kwa matendo ya mmoja wao labda huyo ayeshutumiwa awe ndo kiongozi na jambo hilo awe amelifanya kwa niaba ya kundi
 
Kamanda Nzowa wa kikosi cha kuzuia madawa ya kulevya amejitokeza na kumtaja Mch. Kuchupu Denis Okechuku wa kanisa moja la 'kiroho' lililopo maeneo ya Kinondoni Biafra, kuwa ni mmoja wa wachungaji wanaotuhumiwa kujihusisha na madawa ya kulevya. Amesema akiwa pamoja na watu wengine mchungaji huyo alikamatwa na kilo 81 za cocaine mapema mwaka huu, na kuwa katika pile ya watuhumiwa wa matukio mbalimbali ya madawa ya kulevya, wapo pia viongozi wengine kadhaa wa kidini, ambao watatajwa baadae.

Source; Channel ten (Kipindi cha Baragumu leo asubuhi)

Huyo Mpopo siyo Mtanzania bana
 
Kwa hiyo huyu M-naieria ndiyo anawakilisha viongozi wa dini zote za TZ, hivi hilo dhehebu lake lipo kwenye orodha ya madhehebu ya wTZ, bado hii hai-justify kiongozi wa nchi kuhukumu madhabahuni- huu ni ................
 
Huyo mchungaji kafikishwa lini mahakamani? na mahakama gani? Je, ameshahukumiwa?? Pia ni bora angetueleza ni wa dhehebu lipi..
 
walivyomkamata walichukua hatua gani??? Au ndo usanii unaendelea??? Ametaja jina moja, tunataka na jk nae ataje ya kwake au ndo kamsaidia kutaja??
 
Kwa hiyo Kikwete ametii amri ya Maaskofu kwa kupitia Kamanda Nzowa, safi sana, ila tunataka hao watu wakanyee debe siyo ngonjera kama kesi ya kina Mramba na wenzake.
 
Huyo mchungaji kafikishwa lini mahakamani? na mahakama gani? Je, ameshahukumiwa?? Pia ni bora angetueleza ni wa dhehebu lipi..

Kesi ipo mahakamani na inaendelea. Hajasema kama yupo rumande au nje. Ametaja dhehebu, lina jina refu kama dawa ya ukoma...
 
Hilooooooo JINAAAA SIO LA Mtanzaniaa!!!!!! huyo kamanda ametumwa kuja kudhalilisha maaskofu na wachungajiii uuuuhhhh!! tutafika kweeeli wajamen???
 
Huyo mchungaji kafikishwa lini mahakamani? na mahakama gani? Je, ameshahukumiwa?? Pia ni bora angetueleza ni wa dhehebu lipi..

nzowa anachekesha kweli. Mbona walimkamata na kumwachia? Sasa anakuja kwenye media kusema nini? Si wangemkamata na kumfikisha mahakamani? Sasa kazi yao ni nini kama wanawafahamu? Are we still in primitive Communallism or what?
 
Kesi ipo mahakamani na inaendelea. Hajasema kama yupo rumande au nje. Ametaja dhehebu, lina jina refu kama dawa ya ukoma...
Hahahahaha. Ukiona hvyo ujue wapo kwenye usanii as usual. Dhehebu gn hilo watz hatulijui? Kama hata jina halikumbukik c kiroja hcho jaman? Tusubiri tuone labda ni kweli.
 
Kama jina mtumishi wa mungu tayari limeshatajwa.....! sasa ni wakati wa kurejea hotuba ya JK ili tuelewe alichokuwa anakisema....!
Ni aibu kwa watu mbalimbali kushiriki biashara inayoteketeza MAMILIONI ya vijana wetu...!
NB:POLISI NA SAKATA LA UBAMBIKIAJI NALO LAWEZEKANA......! REFER ISHU YA REGINALD MENGI KUTAKA KUBAMBIKIWA (though huenda naye yumo)
 
Aiseee.. katumwa kutaja? mbona ikulu jana walisema anayejihisi ajitokeze?

By the way hilo jina sio la pande hizi za africa bana..

ni mnigeria nini????,mbona hawakuwahi kuntangaza????aaaah nzowaaaa,na wanasiasa je hakuna????
 
Back
Top Bottom