Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,020
mkuu Daudi Mchambuzi mbona route yako imenchanganya?
kaka ukiwa na speed nzuri ukitokea maeneo ya naaz hotel unashuka na njia ya tanesco, unaruka fensi unaingia arusha school unayapita mabembea unachukua njia ya mabweni ya arusha school unatokea upande wa pili unashukia mto themi unavuka unatokea uzunguni maeneo ya kwa wazambia unaendelea na safa mpaka mlima shabaha hadi bwawa la mavi, kwa route hii kamanda alikuwa hanipati.