Kuna pikipiki zinazokamatwa na polisi na wenyewe kuzitelekeza. Tunaomba kujua utaratibu wa kuziuza. Kuna kituo kimoja kipo katika mchakato huo lakini utaratibu hauwekwi wazi ingawa tunasikia tetesi kuwa kutakuwa na mnada. Lakini tetesi kuwa wanauziana polisi wenyewe.