Kamanda Mpinga mchukulie hatua kali msanii Ali Kiba kwa kuvunja sheria za barabarani

Hawa vijana wa madale wawe wanabaki hukohuko kwenye mihogo na hizi nyuzi zao
 
hivi kina chrisbrown, jayz na wengine wakipata tuzo wanafanyaga haya tuyaonayo

au kwakua tanzania tumeendelea sana kuwazidi
 
Kweli ndio maana asiosomea sheria aitwa layman.....mtoa mada umebobea kwenye udaku achana na sheria
 
Kwako Kamanda Mpinga,



Msanii Ali Kiba amefika nchini leo akitokea Afrika Kusini. Baada ya kufika uwanja wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere alipokelewa na mashabiki wake.

Katika hali ya kushangaza msanii huyo amepanda juu ya gari na kushikilia tuzo yake kujigamba kwa mashabiki wake.

Kitendo hiki kinahatarisha maisha yake na maisha ya wengine wanaotumia barabara. Hatari hiyo ni zaidi ya kutofunga mkanda, kuendesha gari lisilo na breki, tairi lenye kipara etc.

Sheria za usalama barabarani haziruhusu ujinga huu hivyo msanii huyu achukuliwe hatua kali sana.

Kitendo alichokifanya ni zaidi ya dereva wa Itigi au Diamond Platnumz.

Jela inamnukia.

Bila shaka wewe ni timu diamond
Mbona hata diamond alishawahi kufanya hivyo au umetumia zao korofi mpaka umesahau
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom