Kamanda mpinga??kuna sheria ya traffic kuchukua funguo za gari ya mtu barabarani???

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,900
21,990
Traffic mmoja akiwa na wenzake wameambulia kichapo baada ya askari mmoja kusimamisha basi na kuamuru abiria wote washuke huku akichukua funguo za gari na kuelekea sehemu wanazobana kwa kupeana rushwa..hali hii imetokea leo tazara gari no t760 adr..askari akamfwata abiria akachukua funguo ndipo abiria wakaanza kushuka na kumwomba na kumsihi awapeleke then amrudie

traffic akabaki na msimamo ndipo abiria baadhi wakaanza kumtukana na kuanza
kutoa maneno ya kashfa kabla ya askari kuanza kujibidshana ndipo wenzao wakaanza kusogea..hukuwakiwa wameita defender..muda si mrefu abiria walipoona defender kama kawa uwoga wa mtanzani umasikini wake mwenyewe
wakaanza kutimka na wengine kuanza kuwarushia mawe ile defender ya polisi wakati huo wakawachukua abiria 4 ..kwenda kuisaidia polisi na trafic husika huku akiacha gari ikimsubiri

swali langu je kuna seheria ya baabarani inayoruhusu askari kuchukua funguo za gari ya mtu mpaka amfwate mafichoni??na wakifika huko ana mrudishia afande mpinga tusaidie wanapewa nini hukom mpaka wanarudisha funguo??wakikamata wanatukana kabisa

wapi tz tunaelekea...mzee askari wako wamezidi rushwa na naema hii ya kupiga defender mwanzo tu...kaeni chonjo watanzania wamechoka.....
 
Back
Top Bottom