Kamanda Mpinga: Diamond Platnumz hakufikishwa mahakamani kama dereva wa Singida

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,588
11,668
Kamanda Mpinga amesema kuwa Diamond Platnumz hakufikishwa mahakamani kama dereva wa Singida sababu tukio lake halikuwa baya kama la awali.

C47r7XUWIAAzseK.jpg
 
Mzee atajichanganya, tukio ni tukio tu, hakuna kupepesa macho oh eti nini sijui
 
Nimemsoma tweeter anasema,Dereva wa Singida aliachia usukani na kukaa pembeni ukashikwa na mtu mwingine,wakati Mondi aliachia tu mara moja na baadae kuushika tena
 
i wish i could be an IGP kamanda hapo umepepesa macho ngoja nami nijirekodi kama diamond nione mtanipa adhabu gani na nione kama ntapiga selfie na wewe,nyie ndo mnamfanya magufuli awe na stress nimeona utetezi wako millard ayo nasema umepepesa macho kamanda wangu
 
Kamanda Mpinga amesema kuwa Diamond Platnumz hakufikishwa mahakamani kama dereva wa Singida sababu tukio lake halikuwa baya kama la awali.

View attachment 471638

Huyo aliyesimama nae pembeni ni nani?

Tukitudi kwenye maada, hakuna unsafe action aina yoyote inayoweza kusema hii ni kubwa ama ile ni dogo, vyote huwa vinakuwa categorized kwa uzito sana, reckless driving ya aina yoyote inaweza kusababisha ajali, kosa la diamond la wale wa Singida liko sawa kabisa
 
Hilo kosa dogo limeandika chini ya Kifungu kipi cha sheria ya usalama barabarani? Na adhabu yake ni ipi tofauti na kosa la yule wa Kwanza?
 
Sio double standards, mzee yupo sawa kabisa.
Japo fine ya Diamond ni ndogo, 60K kwa kosa kama lile ni uhuni, kuna nchi EU wanakunyang'nya leseni kwa miaka kadhaa kwa kosa kama hilo.

Tukirudi kwa mzee, huwezi sema haya makosa mawili ni sawa, na yupo sawa kusema kua gari modern unaweza achia steering kwa muda, hizi gari zimetengenezwa hivyo, hata ukiachia steering zitaendelea mbele tu bila tatizo lolote, hamjaona gari ka tesla unaachia umbali mrefu mno bila tatizo, zipo nyingi tu za hivyo. Yule dereva its obvious lile gari kubwa na limechoka, alafu alikua mjinga akasimama akatoka kabisa kwenye kiti, mtu na akili zake hawezi fanya ujinga kiasi hiki.

Hakuna double standards, haya makosa mawili sio sawa kabisa.
 
Back
Top Bottom