Kamanda Mpinga ameaona hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamanda Mpinga ameaona hili?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Anold, Mar 30, 2011.

 1. A

  Anold JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Kuna gari moja chakavu linapiga mzigo Rombo nimeliona kwenye gazeti la udaku ambalo hutolewa na Global Publisher, nimeshindwa kuweka hiyo picha hapa jamvini ila kama ningefanikiwa kuiweka nafikiri ingekuwa changamoto kwa Jeshi letu la Polisi hususan Trafiki.
   
Loading...