Elections 2015 Kamanda Mawazo: Tumepigwa tena, mwenzetu anaweza kufa wakati wowote!

mpumbafu wewe,unafurahia hivyo vitendo vya kihuni wanavyofanya hao janjawidi wanaitumwa na mwigulu???? siku zenu zina hesabika na siku cdm uvumilivu ukitutoka nakuapia wewe kicheche hii nchi mtaikimbia,msidhani hatuwezi kushika mapanga!!!! ichezeeni amani lakn siku hiyo magamba hamtasalia hapa tz!
Mapanga ya kuchora au?
 
Kwa tabia hii kwa nini tusihukumu kuwa CCM ni kama shetani mwenye kiu ya damu ya watu, na polisi kama wachawi wamtumukiao bwana wao shetani? Hivi hawa CCM watatuacha salama kweli mwaka 2015 na hivi vikosi vyao vya Interahamwe?

Wengi wao wanadhani wako sahihi na ninaamini watakuwa wamejipanga kwa style hii ya kishetani,si umesikia mwendelezo wa kambikambi zao!
"WAMEJIJUA WANAZAMA NA WAMEAMUA KUZAMISHA NCHI".
 
Acha uchochezi wee mjinga,

Unawachochea watu wauane wakati wewe umejificha kwenye keyboard..

Chris Lukosi, huwa unachonga sana mambo kama haya ikihisiwa CDM wanahusika mbona kwa hili haukemei? Ndio watu wanaweza kuuana ila mwanzo wa mauaji hayo ni nani?
 
Uongo mwingine hauna kichwa wala miguu. Kupigwa mpigwe nyie mpaka mjeruhiwe na silaha za waliowapiga mziteke nyie muwape polisi? Hapo mmepigwa au mmepiga?

Haiingii akilini.
 
Mmmmmh! Hii hbr imenishtua sana jamani!

Hawa mafisadi kwa kweli wamebaki na sera ya kupiga tu. Ila hakika nawaambia kwa hali hii cc.m hawana lao tena ndani ya Nchi wamebaki na jina tu. Kwa ujumla yao ni ngumu sana!
 
Tumekabidhi mapanga, nyundo, nondo name silaha nyingine tulizoshambuliwa nazo

Hapa ndipo mlipochemka,mtu yeyote mwenye akili atajua mnacheza igizo maana haiwezekani mshambuliwe nyie alafu na hizo silaha za kushambuliwa muwe nazo nyie.
Tatizo la michezo hii ya kitoto ni kuwatoa kafara wenyenu,na kwa jinsi ulivyoandika "mwenzetu anaweza kufa wakati wowote",kauli hii inaonyesha unapenda sana huyo jamaa afe kwa faida ya kijinga ya kisiasa,
 
Huu ni uzushi na uongo mtupu. Hakuna kitu km hicho. Mi nipo apa sombetini tangu kampeni zimeanza
 
Makamanda mmekuwa sawa na mgema. Akisifiwa tembo hulitia maji. Vituko mnavyounda sasa watu wamesanuka. Tahadhari kubwa mtajikuta mmebaki wachache mno. Hila zimedunda. Mwendo wa kasi ni hatari sana
 
"Tukiwa kwenye mkutano wa hadhara maeneo ya kibo Sombetini mwenzetu mmoja amepigwa na kukatwa katwa mapanga,tumejitahidi kumwokoa lakini wenzetu walijiandaa vilivyo kwa silaha za jadi.

Niko na makamanda central na tayari kapewa PF3. Mi nimebaki ili kufungua jalada lakini OCD anakataa kwa kusema mi siyo eye witness.

Kinachoniuma ni ukweli kwamba majeruhi tukiwa ndani ya gari la police alimwona mshambuliaji wake na kuwataka police wamkamate lakini walikataa na kututaka tufungu jalada kwanza, kingine ni gari la police kutishiwa kugongwa na gari la CCM huku wakiimba TUNAMTAKA MAWAZO na wao kukaa kimya.

Tumekabidhi mapanga, nyundo, nondo name silaha nyingine tulizoshambuliwa nazo


Duh poleni Sana
 
Lipeni kisasi ata Yesu mwenyewe alisema mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie na la kulia....baada ya hapo hakusema chochote Bali akili itumike
 
Damu hii ya wazalendo inayomwagika, inamwagilia mche wa ukombozi wa tz mpya. Hakuna damu ya mtu iliyowahi kumwagika bure. Poleni sana makamanda.

Pamoja daima.
 
Chadema ni Walpole mno, hii Mara ya pili haya mambo yanatokea sasa..kamanda mawazo agiza vijana waje na siraha za kujilinda....!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom