Elections 2015 Kamanda Mawazo: Tumepigwa tena, mwenzetu anaweza kufa wakati wowote!

Pole sana makanda, Mungu yuko pamoja nasi hajatuacha, mapambano ya hoja yaendelee, inasikitisha sana
 
ni mvuta bange maarufu wa arusha...alikuwa ni msaidiz wa lema kwenye ile biashara yake ya wizi wa magari...

Alipokuwa diwani kwa tiketi ya CCM hakuwa anavuta bange? Au ameanza baada ya kuwakimbia na kujiunga CDM? Tufahamishe mkuu.
 
Aksante mdada wa ccm kwa kutuhabarisha. Ila nikuulize kaswali kadogo tu; Una damu ya kike ndani yako kweli?? Unaripoti kwa furaha kabisa habari za mtu aliyeumizwa kana kwamba ameenda haja ndogo tu??
Ama kweli, roho yu mauti ikikuvaa hata mwanao uliyemzaa huoni shida kumwua. CCM ni janga, ushindi hata kwa uhai wa mtu!!
Damu hakuna wakuifurahia ila chadema waache pombe za kwenye kataratasi watamalizana aibu sana kuumizana wao wenyewe kwa wenyewe
 
Mnafki mkubwa ww tena mbeya mkuwa ila tutavumilia tu naapa cku tukiamua wanaarusha mtaona cha mtema kuni nataman hata nikutukane ila wataniblock, nakuacha kiporo kwanza!! Ila cku tukiamua kujibu mapigo hakiyamungu jesh la wananch litaingilia kati!! Hatuogop police sisi ila tunaheshia sheria!!

Kwanini chadema hampendagi ukweli kabisa ?
 
ccm si mfe wenyewe kwani lazima mfe na watu wetu,mna mpiga mtu kwakua amevaa tu nembo za cdm,wauaji wakubwa nyie,mtakufa vibaya
 
Naichukia CCM kwa sababu ya matendo kama haya ya kigaidi. Lakini pia nanyi CHADEMA, mmekuwa dhaifu mno. Mnaonewa sana. Kama police hawawezi kuwasaidia kwa nini na nyie msipige? Uvumilivu unamwisho wake makamanda. Waswahili walisema,"ukishikwa shikamana" Wachache wabinafsi watasema ninafanya uchochezi, lakini ninachohimiza hapa ni kupambana na waonevu na si vinginevyo.

Tatizo ni kwamba siku CHADEMA tukijaribu kujibu mapigo tu, basi CCM watapata sababu ya kukifuta chama. Maana haya yote wanayofanya ni kutafuta tu kutuchokoza, tuchoke kuvumilia, tujibu mapigo, then tufutiwe chama. Nawasihi wanaCHADEMA tuwe wavumilivu, tuvumilie vifo tuvumilie mateso haya. Baada ya kufanikiwa kuchukua nchi, ndipo tutakapofanya malipizi, kama kutakuwa na ulazima wa kufanya hivyo, lakini tukilipiza hivi sasa itatugharimu. Kumbukeni msajili wa vyama, usalama wa taifa, polisi na kila uozo wa CCM unatuangalia sisi kama tishio kubwa kwao. Ni lazima tujifunze kuwa wa tofauti ili wakose kisingizio.
 
makamanda tuvumilie tu hawa vibaka lengo tujibu mapigo uchaguzi usifanyike cha msing tujihami nao M4C PAMOJA DAIMA
 
"Tukiwa kwenye mkutano wa hadhara maeneo ya kibo Sombetini mwenzetu mmoja amepigwa na kukatwa katwa mapanga,tumejitahidi kumwokoa lakini wenzetu walijiandaa vilivyo kwa silaha za jadi.

Niko na makamanda central na tayari kapewa PF3. Mi nimebaki ili kufungua jalada lakini OCD anakataa kwa kusema mi siyo eye witness.

Kinachoniuma ni ukweli kwamba majeruhi tukiwa ndani ya gari la police alimwona mshambuliaji wake na kuwataka police wamkamate lakini walikataa na kututaka tufungu jalada kwanza, kingine ni gari la police kutishiwa kugongwa na gari la CCM huku wakiimba TUNAMTAKA MAWAZO na wao kukaa kimya.

Tumekabidhi mapanga, nyundo, nondo name silaha nyingine tulizoshambuliwa nazo

Usiku huu nilikuwa na kiongozi mmoja wa Ccm sombetini nikawa namlaumu kwa wao kufanya fujo mkutano wa Chadema, akaniju tutalalamika sana ila hakuna mtu hata mmoja wa ccm tutasikia kakamatwa na polisi, na kwamba sasa ndio chadema tutakiona. Kazidi kusema mbona hata walio tupa mabomu soweto na olasiti kanisani wanajulikana ila wako nje? Itakuwa watu kupigwa? Hapo ndipo Ccm walipofikia ndugu zangu
 
Ukiona dalili hizi jua serikali imeshindwa kazi. Hata ubuyu ulianza kama mchicha (Hata vita ya syria ilianza hivi hivi). Yangu macho kama patakalika Tz ndani ya miaka 10 ijayo.
 
nimekuwa nikiwaza hivi kama nchi nzima ikiamka kama Arusha au mbeya ccm haiwezi maliza raia kwa kuwauwa kweli?
 
Yaani Mawazo haubadiliki, tabia yako ya uchochezi haukomi....kweli wewe ni tatizo na pamoja na kuwa wewe ni tatizo bado tatizo lako kubwa ni njaa za uheshimiwa alafu unajifanya kamanda. Hakika we chochea tu machafuko lakini hata tone la damu likimwagika ujue kuwa haitaenda bure na bungeni huwezi kwenda kwa kampeni zako za machafuko.
Shame upon you na thread yako ya uchochezi
 
Kwa tabia hii kwa nini tusihukumu kuwa CCM ni kama shetani mwenye kiu ya damu ya watu, na polisi kama wachawi wamtumukiao bwana wao shetani? Hivi hawa CCM watatuacha salama kweli mwaka 2015 na hivi vikosi vyao vya Interahamwe?
 
Chadema ni kama wanamashetani hizi siasa za uongo na uchochezi kamwe hazitawasaidia.
 
Nimeamini ukweli unauma chadema mkuguswa mnatukana hivyo mods huu uzi ni wa ukweli ndiyo sababu chadema wanatukana ili ufutwe naomba msiufute ngoja madudu ya chadema yaonekane

Una tu iq tudogo.Unetokea wapi???mbona waonekana n~geni,kintu pori fulan hivi!!!.
 
Mnafki mkubwa ww tena mbeya mkuwa ila tutavumilia tu naapa cku tukiamua wanaarusha mtaona cha mtema kuni nataman hata nikutukane ila wataniblock, nakuacha kiporo kwanza!! Ila cku tukiamua kujibu mapigo hakiyamungu jesh la wananch litaingilia kati!! Hatuogop police sisi ila tunaheshia sheria!!

Jibuni.
 
Usiku huu nilikuwa na kiongozi mmoja wa Ccm sombetini nikawa namlaumu kwa wao kufanya fujo mkutano wa Chadema, akaniju tutalalamika sana ila hakuna mtu hata mmoja wa ccm tutasikia kakamatwa na polisi, na kwamba sasa ndio chadema tutakiona. Kazidi kusema mbona hata walio tupa mabomu soweto na olasiti kanisani wanajulikana ila wako nje? Itakuwa watu kupigwa? Hapo ndipo Ccm walipofikia ndugu zangu

Jamani, nyie si mlisema ccm Arusha imekwisha kabisa! Na mkaenda mbaali zaidi hadi kufikia kusema ati haina mshabiki hata mmoja! Sasa hawa mnaowalalamikia wametokea wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom