ni mvuta bange maarufu wa arusha...alikuwa ni msaidiz wa lema kwenye ile biashara yake ya wizi wa magari...
Damu hakuna wakuifurahia ila chadema waache pombe za kwenye kataratasi watamalizana aibu sana kuumizana wao wenyewe kwa wenyeweAksante mdada wa ccm kwa kutuhabarisha. Ila nikuulize kaswali kadogo tu; Una damu ya kike ndani yako kweli?? Unaripoti kwa furaha kabisa habari za mtu aliyeumizwa kana kwamba ameenda haja ndogo tu??
Ama kweli, roho yu mauti ikikuvaa hata mwanao uliyemzaa huoni shida kumwua. CCM ni janga, ushindi hata kwa uhai wa mtu!!
Mnafki mkubwa ww tena mbeya mkuwa ila tutavumilia tu naapa cku tukiamua wanaarusha mtaona cha mtema kuni nataman hata nikutukane ila wataniblock, nakuacha kiporo kwanza!! Ila cku tukiamua kujibu mapigo hakiyamungu jesh la wananch litaingilia kati!! Hatuogop police sisi ila tunaheshia sheria!!
Naichukia CCM kwa sababu ya matendo kama haya ya kigaidi. Lakini pia nanyi CHADEMA, mmekuwa dhaifu mno. Mnaonewa sana. Kama police hawawezi kuwasaidia kwa nini na nyie msipige? Uvumilivu unamwisho wake makamanda. Waswahili walisema,"ukishikwa shikamana" Wachache wabinafsi watasema ninafanya uchochezi, lakini ninachohimiza hapa ni kupambana na waonevu na si vinginevyo.
Chadema ni genge la wahuni, wauwaji na wamwagia watu tindikaliccm si mfe wenyewe kwani lazima mfe na watu wetu,mna mpiga mtu kwakua amevaa tu nembo za cdm,wauaji wakubwa nyie,mtakufa vibaya
"Tukiwa kwenye mkutano wa hadhara maeneo ya kibo Sombetini mwenzetu mmoja amepigwa na kukatwa katwa mapanga,tumejitahidi kumwokoa lakini wenzetu walijiandaa vilivyo kwa silaha za jadi.
Niko na makamanda central na tayari kapewa PF3. Mi nimebaki ili kufungua jalada lakini OCD anakataa kwa kusema mi siyo eye witness.
Kinachoniuma ni ukweli kwamba majeruhi tukiwa ndani ya gari la police alimwona mshambuliaji wake na kuwataka police wamkamate lakini walikataa na kututaka tufungu jalada kwanza, kingine ni gari la police kutishiwa kugongwa na gari la CCM huku wakiimba TUNAMTAKA MAWAZO na wao kukaa kimya.
Tumekabidhi mapanga, nyundo, nondo name silaha nyingine tulizoshambuliwa nazo
Uliza waliyokuwepo au muulize Mawazo na lema maana walishiriki tukio hilo
Nimeamini ukweli unauma chadema mkuguswa mnatukana hivyo mods huu uzi ni wa ukweli ndiyo sababu chadema wanatukana ili ufutwe naomba msiufute ngoja madudu ya chadema yaonekane
Mnafki mkubwa ww tena mbeya mkuwa ila tutavumilia tu naapa cku tukiamua wanaarusha mtaona cha mtema kuni nataman hata nikutukane ila wataniblock, nakuacha kiporo kwanza!! Ila cku tukiamua kujibu mapigo hakiyamungu jesh la wananch litaingilia kati!! Hatuogop police sisi ila tunaheshia sheria!!
Usiku huu nilikuwa na kiongozi mmoja wa Ccm sombetini nikawa namlaumu kwa wao kufanya fujo mkutano wa Chadema, akaniju tutalalamika sana ila hakuna mtu hata mmoja wa ccm tutasikia kakamatwa na polisi, na kwamba sasa ndio chadema tutakiona. Kazidi kusema mbona hata walio tupa mabomu soweto na olasiti kanisani wanajulikana ila wako nje? Itakuwa watu kupigwa? Hapo ndipo Ccm walipofikia ndugu zangu