Kamanda Mawazo: JF imeondoa unyanyasaji tuliokuwa tunafanyiwa!

maguzu masese

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
283
139
Nimekuwa nikisafiri na waandishi wa habari mara nyingi na kuwalipa, taarifa wanazotoa ni zile zinazo wafurahisha waajiri wao, leo hata nikiwa baharini taarifa zangu zinapatikana. Siitofautishi na huduma za M pesa, tigo pesa nk zilivyo adabisha mabenk.Aliyasema jana kwenye mkutano na wadau wa siasa Gold crest Mza
 
Nahisi hizo habari anawapa waandishi wa magazeti ya Habari Leo/Mzalendo bila kusahau gazeti la Uhuru!
 
Kamanda Mawazo JF siyo mali ya Chadema wala CCM ni jukwaa huru.

"Nimekuwa nikisafiri na waandishi wa habari mara nyingi na kuwalipa,taarifa
wanazotoa ni zile zinazo wafurahisha waajiri wao,leo hata nikiwa baharini taarifa zangu zinapatikana. Siitofautishi na huduma za M pesa,tigo pesa nk zilivyo adabisha mabenk. Aliyasema jana kwenye mkutano na wadau wa siasa Gold crest Mza"

Jf gold member je ni tatizo la kusoma, kuelewa au kuona?! maana sioni popote muwasilishaji uzi huu alipoandika kwamba JF ni mali ya CDM au CCM???!!!

Tafadhali jaribu kubaki objective do not allow subjective considerations to crowd your intellectual aptitude.
 
Hawa ndo watu productive kwenye taifa....watu kama kamada mawazo ndo wanasaidia ustawi wa taifa lolote duniani...!!!
 
Pulakitikale au seioretikale? Maana unavyochukiwa khah, ningekuwa mie ningeshakunywa gongo
Anajichukia mwenyewe, hakuna anayempiga vita huyu liberal!
By the way, gongo na Konyagi zina tofauti gani?...naombeni msaada wa kujuzwa, nina rafiki anakunywa sana konyagi, nataka nimshauri!
cc: LiverpoolFC, Arushaone, Mungi, KOKUTONA, Filipo, Preta!
2.JPG
konyagi.jpg
 
Kamanda Mawazo JF siyo mali ya CHADEMA wala CCM ni jukwaa huru.

Kamanda Mawazo anasisitiza point ya alternative news outlet. Kwa sasa JF pamoja na mambo mengine ni uwanja wa mapambano kati ya CCM na Chadema. The truth will prevail.
 
Kamanda Mawazo JF siyo mali ya CHADEMA wala CCM ni jukwaa huru.

Ni kweli Jf siyo mali ya chama chochote ndiyo maana unaweza kupost pumba zako

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nimekuwa nikisafiri na waandishi wa habari mara nyingi na kuwalipa, taarifa wanazotoa ni zile zinazo wafurahisha waajiri wao, leo hata nikiwa baharini taarifa zangu zinapatikana. Siitofautishi na huduma za M pesa, tigo pesa nk zilivyo adabisha mabenk.Aliyasema jana kwenye mkutano na wadau wa siasa Gold crest Mza

Kamanda Mawazo karibu na kwetu huku Mbozi jamani!!!!Tunakuhitaji hati.....
 
Back
Top Bottom