Kamanda Mawazo: JF imeondoa unyanyasaji tuliokuwa tunafanyiwa!

JF imeondoa urasimu wa kupata habari zilizochujwa.Gazeti hadi apigiwe mwenye mamlaka kuulizwa then aseme andika au usiandike.Wapi na wapi.
 
Anajichukia mwenyewe, hakuna anayempiga vita huyu liberal!
By the way, gongo na Konyagi zina tofauti gani?...naombeni msaada wa kujuzwa, nina rafiki anakunywa sana konyagi, nataka nimshauri!
cc: LiverpoolFC, Arushaone, Mungi, KOKUTONA, Filipo, Preta!
2.JPG
konyagi.jpg

PJ acha kabisa kunywa konyagi...hiyo inaunguza maini na mapafu....

Huo ndio ushauri wangu, kunywa juice natural
 
Kamanda Mawazo JF siyo mali ya CHADEMA wala CCM ni jukwaa huru.

Tatizo lako unawaza na kuongea kwa kutumia masaburi badala ya kuwaza na kuongea kwa mdomo.mtoto wa fisadi ni fisadi tuu mpaka jf unataka kuifisadi.hivi hizo pesa zooote mlizoiba hamtosheki tuu??? Kwani unatafuta nini zaidi? Nyambaff!
 
Ni kweli lakini taarifa nyingi hapa zimekaa kishabiki na nyingi zinazopewa uhuru wa kujadiliwa ni zile zinazowafurahisha watu flani ambao wanajijua wenyewe. Jukwaaa haliko huru
 
Tatizo lako unawaza na kuongea kwa kutumia masaburi badala ya kuwaza na kuongea kwa mdomo.mtoto wa fisadi ni fisadi tuu mpaka jf unataka kuifisadi.hivi hizo pesa zooote mlizoiba hamtosheki tuu??? Kwani unatafuta nini zaidi? Nyambaff!

lugha kama hii uliyotumia hapa ndio inayowafanya members wengi waidharau jf na kuiona ipo kwa ajili ya watu flani kwa lengo flani...angetumia mtu mwingine lugha kama hii angepigwa ban
 
kamanda mawazo........ sijui anayeleta habari zake humu ni yeye mwenyewe au promota wake wa kisiasa...:yell:
 
Back
Top Bottom