Kamanda Mambosasa: Upelelezi wa kesi ya wafuasi 27 wa CHADEMA wakiwemo viongozi wanaodaiwa kufanya fujo gereza la Segerea umekamilika

Elice Elly,
Ni uwongo wa kitoto. Mtu unaweza kucheka, lakini watu wameumizwa hadi kuvunjwa viungo, nothing funny. Nchi imejaa ushetani.
 
Hawa askari pamoja na kwamba uwepo wao Ni muhimu kwa usalama wetu, lakini Sasa nimeanza kuona kama wale Wananchi wa MKIRU walioamua kuwabugiza risasi walikuwa sahihi. Wanawezaje kuwa na double standard kwa matukio yanayofanana!!!?
Polepole anafunguliwa geti kwa unyenyekevu na kuingia akiwa na wafuasi lukuki; huku Wabunge Halima na Esther wanafanyiwa unyama wa wa kimbwa, kuvunjwa mkono na mgongo wakiwa wako nje ya geti lile lile wakimsubiri kiongozi wao!!
Jomba unajuaje Kama matukio haya yanafanana..ulikuwepo kule magereza..msidhani wananchi hatuna akili jomba. Askari wale walijitahidi Sana kuwasihi watoke eneo like lakini wao wakawa wanalazimisha kuingia kwenda kumuokoa Mwenyekiti wao ..ujinga Sana huu
 
Huyu siwezi kumuamini hata kidogo.

Kwenye hiyo kesi,wanaolengwa hapo ni Mdee na Bulaya, ila haya mambo mwisho wake ni kuwafanya viongozi wa upinzani na wafuasi wao kwa ujumla kuzoe Jela na hali hii ikitimia,basi tujiandae kwa maandamano na ghasia za kisiasa haya yakiwa ni matokeo ya watu kutoogopa jela na zaidi kuwa desperate hivyo kujiona hawana cha kupoteza kukaa/kwenda jela.
Hivyo ndivo utawala wa sheria unavotekelezwa.
Kungekuwa hakuna utawala wa sheria hata jela zisingekuwepo
 
Cdm hawahitaji huruma ya mwananchi yoyote, bali wanahitaji kutendewa haki na kuheshimiwa tu. Huyo Mambosasa anatumwa kupotosha umma na kufunika ukweli, lakini ulimwengu wa sasa watu hawako usingizini tena, wanaweza kuona wenyewe bila kuletewa hadaa na taasisi za dola, ambazo katibu mkuu wa chama tawala anajigamba kuwa ndio nguzo yao.
Na wananchi ndio sisi hawa tunaona jinsi wanasiasa wanavyo tuvuruga hasa wa upinzani,wanafanya fujo hovyo na kushawishi tuwekewe vikwazo ili tufe njaa,kwa hali hii unadhani tutawachagua kweli mkuu?

macson
 
Taratibu za malipo zilishafanywa figisu zilikuwa alale atolewe jtatu,mngemtoa mapema yasingetokea mnalazimisha vurugu ili mpate Pesa Mbona?
Safari hii hakuna faini ni kifungo tu,wasifanye fujo/makosa kwa kutegemea mteremko,kwanza wananchi nao wanawachoka,anajitoa buku 2 yake badala ya kununa mboga home anamchangia muhuni anaenda kufanya fujo ili arudi jela,inaumiza sana.

macson
 
Najaribu kujiuliza, hivi huyu askari aliyechaniwa sare yake na Halima alikuwa amelala usingizi mzito? Mpaka raia amsogelee amkamate, amkunjekunje mpaka sare ichanike......! Kama ni kweli huyu hafai kuwa askari, apewe kazi ya kudeki ofisi za wakubwa wake.


Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima ilikua katika purukushani,vita haina macho mkuu kila mtu anajihami kwa namna yoyote anayoweza.

macson
 
Na wananchi ndio sisi hawa tunaona jinsi wanasiasa wanavyo tuvuruga hasa wa upinzani,wanafanya fujo hovyo na kushawishi tuwekewe vikwazo ili tufe njaa,kwa hali hii unadhani tutawachagua kweli mkuu?

macson

Weka tume huru ya uchaguzi kisha uje uchukue mrejesho. Wananchi wameshaamka boss
 
Omary Mahita aliyekuwa IGP wa Tanzania ambaye rekodi yake ya ukatiri haijawahi kuvunjwa , baada ya kustaafu ALIBURUZWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA AIBU ZA KUMJAZA MIMBA HOUSE GIRL WAKE MWENYEWE NA KURUKA MATUNZO YA MTOTO , bado haijafahamika kama alimbaka baada ya kumtisha na mavyeo yake ya upolisi au walikubaliana ( tunaendelea kuchunguza ) , Cheo chake hakikumsaidia wala CCM haikumsaidia , amebaki kudhalilika binafsi milele na milele , hadi kufikia waislam kuukataa msikiti alioujenga mjini Morogoro .

Lazaro Mambosasa aichukue changamoto hii ya Mahita kama funzo kwake , leo Mahita hakuna mahali anapoheshimiwa , hata chama chake cha ccm kilimbwaga kwenye kura za maoni .
Utamu wa kule kunani na kazi wapi na wapi?
 
Safari hii hakuna faini ni kifungo tu,wasifanye fujo/makosa kwa kutegemea mteremko,kwanza wananchi nao wanawachoka,anajitoa buku 2 yake badala ya kununa mboga home anamchangia muhuni anaenda kufanya fujo ili arudi jela,inaumiza sana.

macson
Mbona wengine wameshushwa magarini huo uhuni wamefanyia wapi sasa,sio waliovunja wanawake ni wahuni nijuavo askari ni amani
 
Jomba unajuaje Kama matukio haya yanafanana..ulikuwepo kule magereza..msidhani wananchi hatuna akili jomba. Askari wale walijitahidi Sana kuwasihi watoke eneo like lakini wao wakawa wanalazimisha kuingia kwenda kumuokoa Mwenyekiti wao ..ujinga Sana huu
Usinifanye Sina akili Kama wewe, na Wala Mimi Sina ujomba na wapumbavu. Ni Mpumbavu tu anayeweza kufikiri na kuunda ujinga unaounda wewe. Inaonekana wewe na Mambosasa lenu moja. Kufikiri kuwa Watanzania wote Ni wajinga!!!
Hivi Watu waliokuwa na furaha ya kumpokea Mwenyekiti wao aliyekuwa kwenye hatua za mwisho za kutoka gerezani wanawezaje kulazimisha kumwokoa!!? Acheni ujinga na wala msifikiri sote tu wjinga kama ninyi!!!
 
Back
Top Bottom