Kamanda Mambosasa awataka Polisi wasitafute makosa, na wale wa Pikipiki marufuku kutoza faini za makosa barabarani

Utekelezaji sasa......awamu hii kumiliki chombo cha usafiri ni matatizo tu,unaenda shamba kwa miguu au baiskeli kukwepa adha ya polisi
 
Hakuna watu waonevu kama traffic.Nahis kila traffic anakusanya si pungufu ya laki nne kwa siku.[HASHTAG]#CCM[/HASHTAG] mpya
 
Na pale inapotokea trafiki anaanza kudai leseni na kadi ya gari halafu kukagua gari yako inakuwaje. Kwa nini asianze kukagua gari ndipo adai leseni na kadi ya gari?
 
Back
Top Bottom