Kamanda Lowassa avaa gwanda kwa maandalizi ya uzinduzi wa kampeni za Kinondoni leo

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Kamanda Edward Lowassa akiwa amevalia gwanda kwa ajili ya maandalizi ya uzinduzi wa kampeni za Kinondoni leo.

lowasaa.jpg
 
Tangu ajiunge na CHADEMA mwaka 2015, Mwanasiasa mashuhuri nchini, Edward Lowassa hakuwahi kuonekana akiwa amevalia sare za chama hicho, kitendo ambacho kimekuwa kikiibua maswali na kejeli..

Hatimaye, leo ikiwa ni miaka 3 baadaye, Lowassa ameonekana akiwa ndani ya sare hizo maarufu kwa jina la 'Gwanda'..

Udadisi: Je, Kamati Kuu ya CHADEMA ambayo iliketi hivi karibuni ndiyo 'imemlazimisha' Bwana Lowassa kutinga gwanda?

el.jpg
 
Hajawahi na hatawahi kuwa kamanda huyo, siku mkija kutambua hilo jahazi lenu litakuwa limeshazama. Huyo yupo huko kwa kazi maalum.Haya maigizo yote ni sehemu ya kazi aliyotumwa. Endeleeni kujidanganya. Ana degree ya SANAA huyo kutoka UDSM.
 
Back
Top Bottom