Kamanda Lissu kuunguruma Iramba Magharibi tar.22.12.2013

Rayman ProphetMcRay

Senior Member
Dec 8, 2012
179
0
Mhe.Tundu Lissu na mhe. Christowaja Mtinda kuwasha moto jimbo la Iramba magharib.
Chama Pendwa Cha Demokrasia na maendeleo {CHADEMA} Kinapenda kuwatangazia wananchi wote wa wilaya ya Iramba na Viunga vyake kuwa, siku ya Jumapil tarehe 22/12/2013 kutakuwa na Mkutano mkubwa wa Hadhara Mkutano utakao hutubiwa na mwanasheria Mkuu wa chadema Mh.Tundu lissu {mb} ambaye kwa muda mrefu sasa amekuwa mwiba kwa serikal na Chama tawala,
Mkutano huu utafanyika katika uwanja wa shule ya Kiomboi Bomani makao makuu ya wilaya ya Iramba midaa ya saa tisa na nusu alasiri,

Hivyo Bas wananchi wote mnakaribishwa kuhudhuria Mkutano Huo ili kwa pamoja tuweze kuonyesha kuwa ni kwa jinsi gani Tumechoshwa na utawala Dhalimu wa Serikali ya CCM..

Pia siku ya Jumatatu Kamanda Lissu ataungana na kamanda Mzalendo, Dr.Slaa atakaye Kuwa anaingia Rasmi Mkoan Singida kwa ajili ya kuhutubia maelfu na maelfu ya wananchi wa mkoa wa singida..! Lengo ni kukomesha Utawala Dhalimu wa Serikali Ya CCM..

"HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE.."

"People shouldn't be Afraid of their Government, Goverment should be Afraid of their People"~Alan Moore

~Great VictorY Requires Great Risk"~Rick

Tangazo kwa Hisani Ya BAVICHA WILAYA YA IRAMBA.
 

POMPO

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
6,690
1,195
Safi sana, aliebuni slogani ya hakuma kulala abarikiwe sana alipo.

Shukrani pia, kwa makamnda wote wanaitekeleza kwa vitendo hii falsafa...

Makamanda mnapiga sana kazi, tuanafarijika. Tuna uona ukombozi uleeeee..."Hakuna kulala".
 

Rayman ProphetMcRay

Senior Member
Dec 8, 2012
179
0
Safi sana, aliebuni slogani ya hakuma kulala abarikiwe sana alipo.

Shukrani pia, kwa makamnda wote wanaitekeleza kwa vitendo hii falsafa...

Makamanda mnapiga sana kazi, tuanafarijika. Tuna uona ukombozi uleeeee..."Hakuna kulala".

"Hatulali mpka kieleweke yaan inamaanisha mpka tupate Uhuru wa Kweli." viva Chadema Yatosha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom