Kamanda Lema na Mawazo kuwasha moto Bunda Mjini, Dec 08, 2012

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
227
Heshima kwenu wakuu.
Kwa mujibu wa taarifa nilizo zipata sasa hivi toka kwa Mawazo Alophonce nikuwa muda huu wanaji andaa kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara bunda mjini. Hii ndo ile OPERATION CHAKAZA CCM ambayo leo itaanza rasmi kwa Mh. Wassira
 
Kama ni kweli, Waambie waandae mazingira tuwapate hewani hapa Jf na update continuously tunataka ccm watambue cdm haifanyi utani iko serious na kuchukuwa dola 2015.
 



......Makamanda....
Chakaza tuu!!... hatakama wamekimbia uwanja wa mapambano ..nasikia...wamekimbilia LUMUMBA kuanzanisha kituo cha redio....LUMUMBA UDAKU FM.....

Wametest zali kuzuunguka nchi.
.....wee...kumbe....watu wameshahitimu elimu ya uraia...mafunzo kwa vitendo... M4C


..ukiona chama kinakimbilia udaku na kuuhalalisha kuutumia kama kinga ya kisiasa basi chama hicho ..... KIMEFILISIKA KIFIKRA!!!!
 
Heshima kwenu wakuu.
Kwa mujibu wa taarifa nilizo zipata sasa hivi toka kwa Mawazo Alophonce nikuwa muda huu wanaji andaa kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara bunda mjini. Hii ndo ile OPERATION CHAKAZA CCM ambayo leo itaanza rasmi kwa Mh. Wassira

Bunda ni laini kama maini, manake mbunge wao anakula usingizi tu mpaka bungeni
 
Habari zilizo tufikia muda mhuu toka kwa Kamanda Mawazo ni kuwa mvua kubwa sana ambayo ni neema na za zawadi toka kwa Muumba wetu imekatiza Mkutano huo kufanyika leo.
 
walisema hatuwezi walisema hatuwezi mbona tumeweza,walisema hutushindi walisema hatushindi mbona tumeshinda.

Haya yatakuwa ni baadhi ya maneno yatakayosikika 2015 baada ya cdm kushinda uchanguzi mkuu na kuandika record tofauti tofauti za kuijenga Tz
 
Ndiyo Wakuu ! Heshima kwenu ! Taarifa toka kwa Mawazo Alophonce ni kuwa ule mkutano wa hadhara wa CHADEMA ambao ki ukweli ulikuwa ndo mwanzo wa uzinduzi rasmi wa OPERATION CHAKAZA CCM BUNDA umekatishwa na mvua kubwa sana ambayo ki uhalisia ni neema na zawadi toka kwa Muumba wetu . Hivyo tuna ombwa tuwe wavumilivu kusubiria taarifa na utaratibu utakao tangazwa tena.
 
Kwa hali yeyote ile wassira hasalimiki tena ije mvua uje upepo,jua hasalimiki! HE MUST GO!
 
Ndiyo ... ulikuwa ndo mwanzo wa uzinduzi rasmi wa OPERATION CHAKAZA CCM BUNDA umekatishwa na mvua kubwa sana ambayo ...

Huyu 'çonsultant' anayebuni haya majina operations za CDM ni mzuri mno. Jina la operation tu linatia hamasa tosha ..
 
Tumshukuru Mungu kwa neema ya mvua,but mapambano yataendelea maana mvua hainyeshi mwaka mzima,big up makamanda,PEOPLE'sssss..........
 
hivi Wassira ana umri gani? Naomba anaejua atujulishe maana huyu mzee toka enzi ya Nyerere yupo.
 
hivi wassira ana umri gani? Naomba anaejua atujulishe maana huyu mzee toka enzi ya nyerere yupo.

afadhali huyo mkuu, je kingunge ngombale mwiru, huyo naye ndiye kamanda wakutegemewa na wakina nepi.. Tangu nazaliwa 30 yrs past namsikia mpaka leo, alizaliwa kwenye lichamaa la wezi na atafia humo..
 
Siku zote mvua ni dalili njema.Kama haikunyesha siku zote na ikanyesha sasa,basi CDM ni chaguo la Mungu.
mkuu yaani mvua imezuia mkutano halafu bado unataka kujiaminisha kuwa ndo chaguo la mungu. Na aliyewezesha mvua ni mwenyewe mungu.
Mkuu utaniambia nini nikuelewe !
 
Back
Top Bottom