Kamanda kova jiuzuru tafadhali

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,219
370
Wana JF,

Kutokana na mkanganyiko wa habari nzima kuhusu tuhuma kwa J.Muro. Imewahamsha watanzania hisia tofauti na kulitizama Jeshi la Police tofauti katika utendaji na uwajibiukaji wa kazi zake, na kutiliwa mashaka. Nchi nzima imetupia Jicho kwa J.Muro na Kamanda Kova na Jeshi la Police.

Kwa hali hiii napenda kumwonba Kamanda Kova Kuachia Madaraka aliyo nayo.

Wenu Mwana JF
 
Hujaweka bayana aresign kwa ajili gani? Ya mkanganyiko? Au ya hisia zilizoibiliwa na watu kuhusu sakata zima la Jery?
 
Wana JF,

Kutokana na mkanganyiko wa habari nzima kuhusu tuhuma kwa J.Muro. Imewahamsha watanzania hisia tofauti na kulitizama Jeshi la Police tofauti katika utendaji na uwajibiukaji wa kazi zake, na kutiliwa mashaka. Nchi nzima imetupia Jicho kwa J.Muro na Kamanda Kova na Jeshi la Police.

Kwa hali hiii napenda kumwonba Kamanda Kova Kuachia Madaraka aliyo nayo.

Wenu Mwana JF
kamanda kova amefanyakazi nzuri kabisa,jerry ana kesi ya kujibu subiri mahakamani.mlalamikaji yupo,ushahidi wa mazingira subiri uone.
 
jenga hoja ajiuzuru kwa kosa gani.........yani ingekuwa viongozi wanajiuzuru kwa hisia za Wananchi na mtazamo tofauti basi tusingekuwa na viongozi.
 
Nadhani ingefaa wafungue kesi rasmi sheria ichukue mkondo wake. Wakishindwa kufanya hivyo, Jerry awageuzie kibao. Ukweli uko wazi, walichonga dili la kumuumiza Jerry, sasa limebuma. Itakula kwao.
 
kamanda kova amefanyakazi nzuri kabisa,jerry ana kesi ya kujibu subiri mahakamani.mlalamikaji yupo,ushahidi wa mazingira subiri uone.

Kova hajafanya kazi yoyote nzuri ni mzushi na anapenda sana kusifiwa kuliko kufanya kazi na nio hulka ya Mapolisi wote wa nchi hii. Sasa mwenyewe amekiri mazingira ya kumkamata Muro yana utata kilichomfanya aite waandishi wa habari ni nini?

Na Muro hana kesi yoyote ya kujibu kwani Rushwa anayotuhumiwa nayo hakukutwa na Kova anakili hivyohivyo.
 
kamanda kova amefanyakazi nzuri kabisa,jerry ana kesi ya kujibu subiri mahakamani.mlalamikaji yupo,ushahidi wa mazingira subiri uone.

Kova hajafanya kazi yoyote nzuri ni mzushi na anapenda sana kusifiwa kuliko kufanya kazi na nio hulka ya Mapolisi wote wa nchi hii. Sasa mwenyewe amekiri mazingira ya kumkamata Muro yana utata kilichomfanya aite waandishi wa habari ni nini?

Na Muro hana kesi yoyote ya kujibu kwani Rushwa anayotuhumiwa nayo hakukutwa na Kova anakiri hivyohivyo.
 
kova ajiuzulu kwa kitendo cha kupoteza imani kwa wananchi kwa jinsi alivyolivalia njuga suala la kumuanda muro bila sababu za msingi na kuliongezea hamasa ilo jambo, ebu tujiulize, mapolisi wote wale na silaha nzito kana kwamba unaenda kupambana na majambazi ni kwa sababu ipi, kuita press conference kutangaza suala la muro kuchukua rushwa na mwisho kubadili maneno inaonesha hayupo makini na kazi yake, kama suala ni profile ya mtu je alituma askari wenye siraha nzito wakamkamate? na je aliitisha press conference wakati katibu mwenezi wa ccm mkoa wa dsm mtoto wa manara alipotapeli magari kwa ushahidi ulio wazi?
je hamasa aliyoiongeza ktk suala lisilokua na ukweli wowote nini kirimdrive? je jeshi la polisi limejiongezea majukumu ya takukuru? kwa mtu aliye makini na kazi yake anaweza kutuma askari wenye siraha nzito kumkamata mtu eti alinidai rushwa sio kwamba naenda kumpa rushwa!
nilikua namuheshim sana kova ila kwa ili, credibility yake imeshuka kua zero and if i were him i would apologise to muro if not resigning immediately to win back the trust of ''concerned'' tanzanians.
 
sasa hivi SREDI za muro zinauza!...kwa mfano hizi sredi ndo zingekuwa karanga,lol!takukuru/homeaffairs wangenunua pickup za south afrika
 
kova ajiuzulu kwa kitendo cha kupoteza imani kwa wananchi kwa jinsi alivyolivalia njuga suala la kumuanda muro bila sababu za msingi na kuliongezea hamasa ilo jambo, ebu tujiulize, mapolisi wote wale na silaha nzito kana kwamba unaenda kupambana na majambazi ni kwa sababu ipi, kuita press conference kutangaza suala la muro kuchukua rushwa na mwisho kubadili maneno inaonesha hayupo makini na kazi yake, kama suala ni profile ya mtu je alituma askari wenye siraha nzito wakamkamate? na je aliitisha press conference wakati katibu mwenezi wa ccm mkoa wa dsm mtoto wa manara alipotapeli magari kwa ushahidi ulio wazi?
je hamasa aliyoiongeza ktk suala lisilokua na ukweli wowote nini kirimdrive? je jeshi la polisi limejiongezea majukumu ya takukuru? kwa mtu aliye makini na kazi yake anaweza kutuma askari wenye siraha nzito kumkamata mtu eti alinidai rushwa sio kwamba naenda kumpa rushwa!
nilikua namuheshim sana kova ila kwa ili, credibility yake imeshuka kua zero and if i were him i would apologise to muro if not resigning immediately to win back the trust of ''concerned'' tanzanians.

Nahisi wameshamuingiza Dar mkuu, hakuwa hivi na sasa wanamporomosha, hiyo ndo Dar bwana watu hawafanyi kazi lkn wanaendesha Vogue
 
Mie nadhani a-resign pale tu hii kesi itakapoisha na kuonyesha kama jery hana kosa ..
 
Back
Top Bottom