Elections 2010 Kamanda KOVA atoa Onyo kali Kwa vijana.

Emma Lukosi

JF-Expert Member
Jul 22, 2009
929
147
Source; Tbc Taifa.

Kupitia taarifa ya habari iliosomwa kupitia Tbc1 Taifa, Kamanda Kova amedai kuwa kuna
Vijana ambao wanarubuniwa kwa kupewa Pesa na wana siasa wasioitakia mema Tanzania
Kwa ajili ya kuanzisha Maandamano yasiyo ya Halali Pamoja na kuleta machafuko.

My take;

  1. Kwa kutumia kodi zetu Kova, Mwema wanalipwa mishahara.
  2. Kwa kutumia rasilimali za Zetu wananua magari ya kutumwagia maji Ya Pilipili.
  3. kwa kutumia vyombo vyetu vya usalama Wanatunyima Haki zetu za kidemocrasia.
  4. Kwa kutumia uvumilivu na hekima zetu wana Tutawala kimabavu.
Tufanyeje;

Tukiwa kama Watanzania ambao tumeshindwa kuvumilia Uhuni Huu, Basi kwa kutumia thread hii Tutoe maoni ya Msingi ambayo Ukiwa kama Mzalendo unadhani yataweza;

  • Kuinusuru Democracy ya Nchi yetu.
  • Kurudisha heshima ya Taifa Tanzania
  • Na mengineyo kwa Manufaa yetu na Vizazi Vyetu.
 
WATANZANIA tunasubiri kengele tu ni kama mwanafunzi wa shule ya msingi anayesubiri kengele ya saa nne aende mapumziko kama haikulia siku hiyo hatotoks. Dr. Slaa, Mbowe tangazieni wapiga kura waliodhulumiwa kura zao nini cha kufanya. hatuwezi kuvumilia alichokifanya Kikwete aende akashike msaaf aape kuiongoza nchi hii. Dhalimu yule
 
Thanks 4 tactical advice..

Mwambieni Kova aanze kulinda nyumbani kwake jamani maana yeyote anayetuzuia tutaanza na nyumba yake wakati wanaomboleza siye tunasonga mbele......
 
WATANZANIA tunasubiri kengele tu ni kama mwanafunzi wa shule ya msingi anayesubiri kengele ya saa nne aende mapumziko kama haikulia siku hiyo hatotoks. Dr. Slaa, Mbowe tangazieni wapiga kura waliodhulumiwa kura zao nini cha kufanya. hatuwezi kuvumilia alichokifanya Kikwete aende akashike msaaf aape kuiongoza nchi hii. Dhalimu yule
CHADEMA Ni sauti ya UMA, tukiwa kama Uma tuangaze Mbali na Tufanye Jambo kubwa zaidi Ya kuandamana.
Ambalo si tu litawashangaza mafedhuli wa CCM bali na hata Ulimwenguni kote ili iwe Mfano kwa Viongozi
wote wa Africa ambao Ni Viziwi wa Democrasia.
 
WATANZANIA tunasubiri kengele tu ni kama mwanafunzi wa shule ya msingi anayesubiri kengele ya saa nne aende mapumziko kama haikulia siku hiyo hatotoks. Dr. Slaa, Mbowe tangazieni wapiga kura waliodhulumiwa kura zao nini cha kufanya. hatuwezi kuvumilia alichokifanya Kikwete aende akashike msaaf aape kuiongoza nchi hii. Dhalimu yule

Pamoja na kuwa inaweza kuwa kweli kuwa Slaa au Lipumba wameibiwa kura na CCM, lakini sidhani kama huu ni wakati muafaka wa kuanza kufikiria violence kama ndio suluhisho la yaliyotokea, kila nikijaribu kuvuta picha ya yalioyotokea katika nchi zote zilizoamua kuchukua violence kama ndio suluhisho la yatokanayo na uchaguzi, NAOGOPA kweli! WaTz bila kujali itikadi za vyama vyetu tuwewavumilivu kuna njia mbadala za kusuluhisha na kupata haki tunayodhani tumedhulumiwa. Tuache kabisa kufikiria fujo kama ndio njia mbadala kwani mwisho wa siku hakuna jema litakalo tokana na fujo hizo! chonde chonde watz jazba na munkari hazifai wakati huu!
 
Kwa uyakinifu Tupe hizo njia Ndio Tunazozitaka.

-Kenya Baada ya Strike leo wanapeta, katiba mpya maisha mapya Yenye matumaini.
 
Back
Top Bottom