Kamanda apata habari yake!

Jidu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,232
754
Gari ya mkuu wa police IGP ikiwa imekula mzinga!

Ajali IGP.jpg
 
Atakuwa alikuwa njiani kwenda igunga kuchakachua na kwa kuwa Mungu hayuko upande wa CCM akaamua kuzuia hiyo safari yao. Safi sana, angevunjilka hata mguu ingesaidia then alazwe hadi siku ya kutangaza matokeo ya Igunga
 
Km dereva wa gari la IGP alikua na makosa sawa, ila km makosa ni upande wa pili, huenda hata makofi alipigwa hapo eneo la tukio........
 
Atakuwa alikuwa njiani kwenda igunga kuchakachua na kwa kuwa Mungu hayuko upande wa CCM akaamua kuzuia hiyo safari yao. Safi sana, angevunjilka hata mguu ingesaidia then alazwe hadi siku ya kutangaza matokeo ya Igunga

mkuu hapo ni dar tena maeneo ya posta kama sikosei..
 
Back
Top Bottom