Kama zzk anaharibu au jenga cdm wakulaumiwa ni cc ya cdm

Mkwawa

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
1,336
1,500
Hakuna sababu ya kumlamlamikia ZZK kwasasa kama anaharibu au kukiuka na kuvunja katiba ya CDM. ZZK tayari amejeruhiwa vibaya kisiasa hawezi tena kuwa na mapenzi na chama hivyo kila upenyo atakaopata lazima ahakikishe anazamisha chama ama kwa mdomo, matendo yake au kutumia wapambe wake. Ni wajibu wa kamati kuu kutoa maamuzi mapema. Bila maamuzi hivi vita kati ya Cdm vs zzk +ccm haitaisha leo.

Zzk yeye anakazi moja kuzama na cdm. Nothing less. Naomba kamati kuu ijue cdm ni wanachama ambao wamejitoa mida, mali, kazi, maisha nk kwa ajili ya kukuza chama sasa hizi sarakasi zi na sumbua sana. Stop it or quite.
 

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,414
2,000
Nakuunga mkono na kama itafika mwisho wa mwaka huu ntaenda mwenyewe kurudisha kadi ofisini kwao na sitakuja kuwa mwanachama tena,bora niendelee na shughuri zangu niachane na huu ujinga wa kuleana siku zote mnalea nini,mnamwogopa? kama mlikuwa hamko tayari kwanini mliamua kuchukua maamuzi ambayo yanaanza kutuathiri sisi wanachama kwasababu mnashindwa kusimamia mnachokiamini? Zito ndo nani CDM?

We are about to step aside.
 

zimmerman

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
668
1,000
Watu wa chadema msituzungue sie. Ufatiliaji wa mambo yenu bila upendeleo wowote waziwazi unaonyesha pamoja na kwamba Zitto ana mapungufu yake lakini hata washtaki wake hamjahandle ili jambo professionally.

Mnamshutumu Zitto kuvunja katiba, mbona washtaki wake hawasubiri maamuzi ya kamati kuu? Kila siku nasoma vijithread vya kumkandia Zitto, vijipost vya kumtishia kumfukuza uanachama, vingine vikitolewa na watu wanaoonekana wapo karibu na makao makuu au ni maofisa wa makao makuu wakijidisguise na majina bandia.

Kuna utoto mwingi sana unafanywa na baadhi ya watuhumu wa Zitto, na msipojirekebisha Zitto ataibuka mwenye upper hand katika hili sakata.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom