Kama Zitto angeshinda na kuwa mwenyekiti wa CHADEMA....

Reyes

Senior Member
Sep 1, 2010
188
2
Hii nieiona kwenye Face Book page ya rafiki yangu wa kwenye face book
Kweli wazee huona mbali, Hongereni wazee wa CHDM, Zitto angekuwa Mwenyekiti wa Chadema leo hii CHDM kingekuwa wapi? tujadili

Login | Facebook
 
Zito,zito zito,kwa faida ya nani,Ebu jadili ISSUES za maana badala ya watu,

Mnalipwa kwa kumjadili huyu kijana,tumechoka na hoja za zito.
 
Zito,zito zito,kwa faida ya nani,Ebu jadili ISSUES za maana badala ya watu,

Mnalipwa kwa kumjadili huyu kijana,tumechoka na hoja za zito.

Zitto naye ni hoja ya maana.... kama chama kisipomshughulikia vizuri chama kitaanguka kutokana na ticktack za huyu bwana
 
Zitto naye ni hoja ya maana.... kama chama kisipomshughulikia vizuri chama kitaanguka kutokana na ticktack za huyu bwana

Issue hapa ni kuanzisha mada mpya wakati kuna mada zaidi ya 4 zinaongelea issue hiyo hiyo au inayofafana na hiyo,kwa nini hoja hii usipost huko badala ya kuanzishas mpya.mnampa kiburi nyie kwa kujiona ni mjadala katika nchi wakati siyo.Kwani zito hasipokuwepo,au akiwepo lipi litakwama?
 
He should be chased out of the party and end up in HELL for all what I care! Toeni post zote kuhusu yeye -- tumechoka!!!! Na hasa nikifikiria kwamba post zingine za kujiremba zinatoka kwenye aliases zake! Alipokuwa hospitali hizi zilipungua kidogo, sasa ametoka basi tena -- pls'e mods....
 
Binafsi nina mtazamo tofauti kidogo juu ya Mh. ZItto, naona anachosimamia licha tunakiona si cha kiungwana ndani ya chama ila kina MANUFAA sana kwa mustakabali wa CDM
 
Kila siku Zito,hakuna hoja nyingine? Mnashndwa kufikilia kufungua matawi na mashina na kuwafikia wananchi wengi kwa ajiri ya uchaguz wa serikali za mitaa mnawaza majungu 2!
 
Binafsi nina mtazamo tofauti kidogo juu ya Mh. ZItto, naona anachosimamia licha tunakiona si cha kiungwana ndani ya chama ila kina MANUFAA sana kwa mustakabali wa CDM

unapo "kiona" afu ukasema tu "kuna kitu naona" inasaidia nini?
bora ukae kimya kama hutaki kusema unaona nini
 
Jibu ni rahisi, Zitto angelijitahidi kuifanya chadema iwe NCCR(mageuzi) ya pili. Ujuavyo hivi sasa nccr ni kama popo; kwa upande mmoja kina sura ya chama cha siasa, na kwa upande mwingine kinashabihana na NGO.
 
Nahisi angekipoteza chama kabisa na kingekua CCM 'C' baada ya Currently Under Fisadi's(CUF).
Umri na uwezo wake vinafaa kuwa chini ya uangalizi maalumu na si kuongoza. Hana msimamo na hawezi kufanya kazi as a team.
Busara ilitumika na ni vema ikaendelea kutumika.
 
Binafsi nina mtazamo tofauti kidogo juu ya Mh. ZItto, naona anachosimamia licha tunakiona si cha kiungwana ndani ya chama ila kina MANUFAA sana kwa mustakabali wa CDM

...!!!!????????????? up to present no one has faith, hope, trust with Zitto kwa matendo yake si matendo yetu, sisi tunataka asiwepo ktk uongozi wa CDM, ww vp? With actions he betrayed the party, pili analewa uongozi na umaarufu, this is bad man
 
Hii nieiona kwenye Face Book page ya rafiki yangu wa kwenye face book
Kweli wazee huona mbali, Hongereni wazee wa CHDM, Zitto angekuwa Mwenyekiti wa Chadema leo hii CHDM kingekuwa wapi? tujadili

Login | Facebook

Angeomba kura za ubunge tu, za rais kwa Mkwere.
 
Angekuwa kama Mrema kura za ubunge kwake za urais kwa Lipumba ili kuonesha analipenda taifa zaidi ya chama chake sijui kama kungekuwa na chama tena.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom