Babe, nimekasirishwa na neno "chochote atakacho taka utampa"....Ya mwezi huu? Nipo hapa hata sihitaji hiyo laki tano nafanya bureeee na chochote utachotaka kutoka kwangu nakupa kama kipo ndani ya uwezo wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Babe, kumbuka ni tar 29, 30 na 31 wasiwasi wa nini?Babe, nimekasirishwa na neno "chochote atakacho taka utampa"....
Nimekumbuka babe, lakini punguza maskhara kwenye mambo ya msingi...
Na wewe babe punguza wivuNimekumbuka babe, lakini punguza maskhara kwenye mambo ya msingi...
Ahsante mchina, na mwanamke atapewa kipaombele zaidi...Ya mwezi huu? Nipo hapa hata sihitaji hiyo laki tano nafanya bureeee na chochote utachotaka kutoka kwangu nakupa kama kipo ndani ya uwezo wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aje Kama yupo dogo ambaye yupo yupo tu.....