Kama yule fisadi papa alionekana anafaa kuwa rais, kuna ubaya huyu kuwa waziri?

Tembulukoje

JF-Expert Member
Jun 14, 2014
397
143
Hebu tuache unafiki, Prof. Muhongo kupewa wizara ya niashati na madini ni mahala pake. Kainyoosha hii secta ya umeme tangu alipoingia.

Kama yule mgombea wa UKAWA alionekana anafaa kuwa rais, baada ya yeye pia kujiuzulu miaka miwili tu tangu apewe uwaziri mkuu, kuna ubaya gani Muhongo kupewa uwaziri tena?

Tuache unafiki
 
Mimi si mshabiki wa siasa, wala sishabikii chama chochote.

Ukweli ni kwamba kwa mtu mwenye maamuzi sahihi huwezi kufuata nyayo alizokosea mwanzako kwa sababu tu na yeye alikosea, kwa hivyo tukosee wote. Maamuzi sahihi ni kurekebisha makosa aliyofanya mwanzako na siyo kufuata nyayo zilele eti ngoma ni draw. Ulichoandika si sahihi.

Kwa hiyo kusema Muhongo amechaguliwa kwa sababu ukawa nao walimpendekeza mtu asiye sahihi ni makosa.

Me naamini Muhongo kachaguliwa kulingana na utendaji kazi wake. Otherwise kama kachaguliwa kwa kuangalia upande mwingine wa shilingi ni makosa makubwa.
 
Lissu na Lipumba na watu kibao, naamini wengi ni ukawa (Nimtoe Lipumba ambae yye alionesha uzalendo) wamepinga uteuzi wa Muhongo kuwa waziri wa nishati na madini kwa mara nyingine tena.

Lissu huyu huyu na timu yake ndo walituamibisha watz kuwa lowassa ni boooonge la fisadi. Baada ya muda wakamuona si fisadi tena, na wakampa nafasi kupitia chama chao awe rais wa hii nchi. Kwa mujibu wa akili zao ni kuwa eti alionewa akawajibika kwa ajili ya nchi na chama chake (Cheap reason).

Leo wanapinga uteuzi wa Muhongo, eti kisa alijiuzulu kwa kashfa ya Escrow. Hawa watu ni mandina kweli.
 
Muhongo ni jembe, na tuna matumaini naye sana. nilisikitika sana alipojiuzulu siku ile. Afadhali amerudi aturekebishie umeme na madini/gas za nchi yetu. Simbachawene hakuwa anafaa kabisa kwenye sector ile, Muhongo ndio jembe limerudi.
 
Hebu tuache unafiki, Prof. Muhongo kupewa wizara ya niashati na madini ni mahala pake. Kainyoosha hii secta ya umeme tangu alipoingia.

Kama yule mgombea wa UKAWA alionekana anafaa kuwa rais, baada ya yeye pia kujiuzulu miaka miwili tu tangu apewe uwaziri mkuu, kuna ubaya gani Muhongo kupewa uwaziri tena?

Tuache unafiki

Kwa hiyo lowasa fisadi na muhongo pia fisadi?maana cjaelewa hoja yako ipo wp?
 
Tembulukoje Mkuu naamini nchi yetu imempata fisadi nyangumi sasa Mzee Wa tirion 4. naamini pamoja Na ushabiki wako Hugo Mzee anaingoza Kwa kufisadi Fedha yetu kuliko mtanzania yeyote sijui unasemaje mkuu
 
Lissu na Lipumba na watu kibao, naamini wengi ni ukawa (Nimtoe Lipumba ambae yye alionesha uzalendo) wamepinga uteuzi wa Muhongo kuwa waziri wa nishati na madini kwa mara nyingine tena.

Lissu huyu huyu na timu yake ndo walituamibisha watz kuwa lowassa ni boooonge la fisadi. Baada ya muda wakamuona si fisadi tena, na wakampa nafasi kupitia chama chao awe rais wa hii nchi. Kwa mujibu wa akili zao ni kuwa eti alionewa akawajibika kwa ajili ya nchi na chama chake (Cheap reason).

Leo wanapinga uteuzi wa Muhongo, eti kisa alijiuzulu kwa kashfa ya Escrow. Hawa watu ni mandina kweli.
Wala usiumize kichwa. nccr walikuwa na wakili msomi machachari zaidi enzi hizo, Dr Lamwai. Sijui aliishia wapi baada ya kujisalimisha ccm! Zitto alisema usimwamini yeyote anayejiita mwanasiasa.
 
kuna watakao mpenda
na kuna watakao mchukia.

HAIJALISHI.

Cha muhimu ni performance ya Kazi yake.
 
Back
Top Bottom