Kama Yanga SC ingeshinda leo Watangazaji na Wachambuzi walipanga kusema haya Kesho ila kwakuwa imefungwa watasema hivi..

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Kama Yanga SC ingeshinda leo dhidi ya Zanaco FC Kesho Watangazaji na Wachambuzi wa Michezo walipanga kusema yafuatayo....

"Hakika Yanga SC hii ndiyo yenyewe na hata hao Simba SC na Azam FC hata ikiwezekana na Al Ahly FC walipange kwani kwa Usajili huu mwaka huu Yanga SC inabeba Vikombe vyote Duniani. Timu imecheza vizuri mno pamoja na kwamba Kambi yao ilikuwa ya Kusuasua. Hakika huu ndiyo Usajili bora kufanywa na GSM kwani kama Zanaco FC leo Kafungwa hakuna wa Kuisimamisha Yanga SC. Pongezi Kwao na kwa Mchezo mzuri hadi Wazambia wakawa wanaomba muda uishe tu"

Baada ya Yanga SC Kufungwa rasmi na Zanaco FC Magoli 2 kwa 1 hivi ndivyo Watangazaji na Wachambuzi wa Michezo nchini Tanzania watakavyosema Kesho katika Vipindi vyao...

"Yanga SC na wana Yanga hata wasiwe na Hofu kwa Matokeo haya ya Kufungwa leo na Zanaco FC kwani Timu bado inajipanga, haijawa na Pre Season nzuri, Wachezaji hawajaelewana halafu inaonyesha Yanga SC waliamua Kucheza kwa Tahadhari ili kuepuka kupata Majeruhi kuelekea Mechi zao Mbili muhimu ile ya Rivers ya Nigeria katika Klabu Bingwa na ile ya Simba SC katika Ngao ya Hisani. Yanga SC ikipewa muda itashangaza dunia na Kikubwa leo walitaka tu Kutambulisha Wachezaji wao wapya na Msemaji wao mpya Haji Manara ili Kuwakoga tu Simba SC"

Haya haya Watangazaji wenye DNA na Yanga SC akina Maulid Kitenge EFM, Yusuph Mkule na Paul Mkai Wasafi FM, Yahaya Njenge na Prisca Kishamba Clouds FM, Goza Chuma na David Kampista East Africa Radio na Tulo Mengele Magic FM Kesho Mightier Mimi nitawategea mno Masikio ili Kuusikiliza Unafiki wenu katika Kuizungumzia Mechi hii ya leo ya Yanga SC na Zanaco FC.
 
Yusuph Mkule na Paul Mkai Wasafi FM hawa jamaa ni wanazi wa Yanga hata wenyewe wanajijua
 
Ni kawaida yao lakini wakiukosa ubingwa utasikia watangazaji hao hao wanasema TFF ijitathmini.Karia atasemwa sana kuwa anaionea yanga.Na wakiona hawajapata muunganiko mapema,wataanza kuichokoza TFF ili wakichukuliwa hatua,mashabiki wao wawe na mtu wa kulaumu
Jana walikuwa wanasema muunganiko siyo tabu sababu wacongo wamecheza pamoja kwa mda mrefu na ni experienced leo wanadai team ipewe muda
 
Ni kawaida yao lakini wakiukosa ubingwa utasikia watangazaji hao hao wanasema TFF ijitathmini.Karia atasemwa sana kuwa anaionea yanga.Na wakiona hawajapata muunganiko mapema,wataanza kuichokoza TFF ili wakichukuliwa hatua,mashabiki wao wawe na mtu wa kulaumu
Subiri redio zote asubuhi watakavyowatetea
Simba waendelee kukaza kutoa vibahasha vya khaki ndo maana jamaa wana hasira sana na simba
 
Msemaji mpya wa Utopolo kaonja joto ya jiwe ya kuwa UTO. Sasa mbona maneno yake hayakupeleka ushindi na yeye alidai kuwa ndiye aliyeiletea Simba ushindi kupitia uhamasishaji wake?
Domo halileti ushindi.
 
Kama Yanga SC ingeshinda leo dhidi ya Zanaco FC Kesho Watangazaji na Wachambuzi wa Michezo walipanga kusema yafuatayo....

"Hakika Yanga SC hii ndiyo yenyewe na hata hao Simba SC na Azam FC hata ikiwezekana na Al Ahly FC walipange kwani kwa Usajili huu mwaka huu Yanga SC inabeba Vikombe vyote Duniani. Timu imecheza vizuri mno pamoja na kwamba Kambi yao ilikuwa ya Kusuasua. Hakika huu ndiyo Usajili bora kufanywa na GSM kwani kama Zanaco FC leo Kafungwa hakuna wa Kuisimamisha Yanga SC. Pongezi Kwao na kwa Mchezo mzuri hadi Wazambia wakawa wanaomba muda uishe tu"

Baada ya Yanga SC Kufungwa rasmi na Zanaco FC Magoli 2 kwa 1 hivi ndivyo Watangazaji na Wachambuzi wa Michezo nchini Tanzania watakavyosema Kesho katika Vipindi vyao...

"Yanga SC na wana Yanga hata wasiwe na Hofu kwa Matokeo haya ya Kufungwa leo na Zanaco FC kwani Timu bado inajipanga, haijawa na Pre Season nzuri, Wachezaji hawajaelewana halafu inaonyesha Yanga SC waliamua Kucheza kwa Tahadhari ili kuepuka kupata Majeruhi kuelekea Mechi zao Mbili muhimu ile ya Rivers ya Nigeria katika Klabu Bingwa na ile ya Simba SC katika Ngao ya Hisani. Yanga SC ikipewa muda itashangaza dunia na Kikubwa leo walitaka tu Kutambulisha Wachezaji wao wapya na Msemaji wao mpya Haji Manara ili Kuwakoga tu Simba SC"

Haya haya Watangazaji wenye DNA na Yanga SC akina Maulid Kitenge EFM, Yusuph Mkule na Paul Mkai Wasafi FM, Yahaya Njenge na Prisca Kishamba Clouds FM, Goza Chuma na David Kampista East Africa Radio na Tulo Mengele Magic FM Kesho Mightier Mimi nitawategea mno Masikio ili Kuusikiliza Unafiki wenu katika Kuizungumzia Mechi hii ya leo ya Yanga SC na Zanaco FC.
Wewe umevurugwa mambo ya yanga waachie wanayanga, makoro koro fc mbona mnateseka sana mna matatizo gani ya kisaikolojia yanayowasumbua? unaanzishe nyuzi kila siku kuiongelea yanga ambao awana mda na wewe,,,unazusha habari za ovyo ovyo apa unashindwa kumuuliza tajiri uchwala wenu ile check ya b.20 aliweka benk gani unabaki kupiga porojo kuusu yanga,,,
 
Mkojo wa Kelvin Kapumbu unakutesa mno. Pole na Poleni pia wana Yanga SC.
 
Back
Top Bottom