Kama wewe una miaka zaidi ya 25 na huna mpenzi, hilo ni tatizo sugu

Kama wikiend hii yote uko mwenyewe mwenyewe tu, huna mpenzi wa kukuweka bize na unamiaka zaidi ya 25;hilo ni tatizo sugu. Ondoka hapo ulipo, oga, piga pamba, nukia vizuri, zunguka zunguka huko mtaani, utapata wa kukuweka bize. Maisha yanatafutwa, hela zinatafutwa, na mapenzi pia yanatafutwa. Usitegemee yakufuate hapo mezani....chakarika.

Dah,
Tunaogopa challenges tunazokutana nazo wakati wa utongozaji!! Acha tu tubaki single.
Akupe shida kwenye kumtongoza, umpate akuchune
Mmh!!
 
Katika maisha kila mtu ana vipaumbele vyake. Kama wewe umeona kuwa na mpenzi ndio jambo la muhimu ni sawa hakuna anaetakiwa kukupangia. Ila watu watakushangaa kwanini unaona kuwa mtu mwingine kutokuwa na mpenzi ni jambo la ajabu.

Kupanga ni kuchagua. Kila mtu afanye anachotaka wakati naotaka.
Umezungumza vyema kaka
 
Jana nimeona Dem kweny daladala amenifanya nimuwaze siku nzima ya leo

Dah yule Dem hakika ningekua nae nais ningekua nafuraha Sana anyway mgoja nibadilishe channel labda kuna kitamdhilia kikali kini keep busy..
 
Kama wikiend hii yote uko mwenyewe mwenyewe tu, huna mpenzi wa kukuweka bize na unamiaka zaidi ya 25 hilo ni tatizo sugu. Ondoka hapo ulipo, oga, piga pamba, nukia vizuri, zunguka zunguka huko mtaani, utapata wa kukuweka bize.

Maisha yanatafutwa, hela zinatafutwa, na mapenzi pia yanatafutwa. Usitegemee yakufuate hapo mezani

Chakarika.
Umetisha mkuu
 
Katika maisha kila mtu ana vipaumbele vyake. Kama wewe umeona kuwa na mpenzi ndio jambo la muhimu ni sawa hakuna anaetakiwa kukupangia. Ila watu watakushangaa kwanini unaona kuwa mtu mwingine kutokuwa na mpenzi ni jambo la ajabu.

Kupanga ni kuchagua. Kila mtu afanye anachotaka wakati naotaka.
Naona hili jiwe limekutwanga kabisa mahala pake, pole!
 
Back
Top Bottom