maliyamtu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 2,135
- 3,866
Hahahaha em ngoja nitaanza tumia hii mbinu mkuuKwanini msiwe mnatongoza wanaume mnaowapenda, ugumu upo wapi? Mbona mnajinyima haki ya kikatiba!
Hahahaha em ngoja nitaanza tumia hii mbinu mkuuKwanini msiwe mnatongoza wanaume mnaowapenda, ugumu upo wapi? Mbona mnajinyima haki ya kikatiba!
Lakini hawana hata mbuni mfukoni.Watazurula halafu watakuta zamu zao za kuosha vyombo zipo palepale!Uko na mwenzako hapo?
HahaahaZunguka mitaani bila direction uambiwe gaidi
Kabisa tumemsikia na kumwelewa.Ila amenigusaa,maana nipo tu mwenyewe hapa daahWamekusikia.
Lakini hawana hata mbuni mfukoni.Watazurula halafu watakuta zamu zao za kuosha vyombo zipo palepale!
Kabisa tumemsikia na kumwelewa.Ila amenigusaa,maana nipo tu mwenyewe hapa daah
Natoa angalizo tu.Maana kuzurula huku umeacha kipande chako cha kazi ni hatari!mbona kama unatusema mkuu
Maamuzi yako ni yapi?Kila mtu ana maamuzi yake katika haya maisha
Ebu tengeneza bondHujaamua tu kuwa na wenzio mbona.
Natoa angalizo tu.Maana kuzurula huku umeacha kipande chako cha kazi ni hatari!
Ebu tengeneza bond
Kama wikiend hii yote uko mwenyewe mwenyewe tu, huna mpenzi wa kukuweka bize na unamiaka zaidi ya 25;hilo ni tatizo sugu. Ondoka hapo ulipo, oga, piga pamba, nukia vizuri, zunguka zunguka huko mtaani, utapata wa kukuweka bize. Maisha yanatafutwa, hela zinatafutwa, na mapenzi pia yanatafutwa. Usitegemee yakufuate hapo mezani....chakarika.
Umezungumza vyema kakaKatika maisha kila mtu ana vipaumbele vyake. Kama wewe umeona kuwa na mpenzi ndio jambo la muhimu ni sawa hakuna anaetakiwa kukupangia. Ila watu watakushangaa kwanini unaona kuwa mtu mwingine kutokuwa na mpenzi ni jambo la ajabu.
Kupanga ni kuchagua. Kila mtu afanye anachotaka wakati naotaka.
Usiende matembezini kabla haujakamilisha kazi za nyumbani.Mmmhh kipande kipi tena mkuu
Usiende matembezini kabla haujakamilisha kazi za nyumbani.
Huwezi amini nimeshindwa ati! Ni karibu mwaka sasa sinaHujaamua tu kuwa na wenzio mbona.
Umetisha mkuuKama wikiend hii yote uko mwenyewe mwenyewe tu, huna mpenzi wa kukuweka bize na unamiaka zaidi ya 25 hilo ni tatizo sugu. Ondoka hapo ulipo, oga, piga pamba, nukia vizuri, zunguka zunguka huko mtaani, utapata wa kukuweka bize.
Maisha yanatafutwa, hela zinatafutwa, na mapenzi pia yanatafutwa. Usitegemee yakufuate hapo mezani
Chakarika.
Naona hili jiwe limekutwanga kabisa mahala pake, pole!Katika maisha kila mtu ana vipaumbele vyake. Kama wewe umeona kuwa na mpenzi ndio jambo la muhimu ni sawa hakuna anaetakiwa kukupangia. Ila watu watakushangaa kwanini unaona kuwa mtu mwingine kutokuwa na mpenzi ni jambo la ajabu.
Kupanga ni kuchagua. Kila mtu afanye anachotaka wakati naotaka.