Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
[h=5]Kama wewe ni mwizi usijaribu kuwaibia walimu hasa wa shule za msingi. Maana kuna jamaa alikwapua handbag ya mwalimu akakuta ndani kuna kalamu nyekundu, chalk, risiti za bank zinazoonyesha hana pesa ktk ac yake. Majina ya waliowahi namba shule, wanafunzi wanaopiga kelele darasani, majina ya watoto waliokopa ubuyu. Kadi za mchango wa harusi na vipodozi.[/h]