Mrs Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 1,002
- 2,272
Asee wanajamvi Nadhani kila mmoja wetu yupo sawa anapambana na hali yake.
Kijana ambaye bado unahangaika kachungulia na kushindana na sehemu ulipotokea usifanye kosa la kula tunda bila ndom a.k.a usalama barabarani. Utakuja kunasa kwenye kitanzi ambacho hutapata hata pumzi na mwisho unaweza kupoteza dira. Sawa mnajiona wajanja kwamba ukishamchungulia mwanamke imekula kwake unasonga mbele na mwingine anayefwatia kwenye roster Ila wapo wanawake ambao sio wa kuchezea na wakiamua kuku vuruga utavurugwa kweli.
Kaka yangu ambaye kila siku tumekuwa tukimuasa Aachane na tabia za ukware akawa anaona sifa ya kuchakata nyuchi za wanawake bila Idadi maalumu amejikuta akivurugwa na kujutia maisha yake yote baada ya moja ya aliowapitia kunasa mimba na bila kujali mwanamke akaamua kulea. Basi Huku na Huku kaka yetu akaanza kutoa matumizi Kama vile Hataki na kuleta mikwara kibao.
Mwanamke alipojua fika kwamba mwanaume ni kiwembe na hakuna dalili ya ndoa Bi dada akamkalisha kikao cha A mpaka Z kwamba Kama anajipenda achukue Hatamu kupeleka kila hitaji atakaloambiwa la sivyo atajuta kuzaliwa. Mdada Ana elimu ya kutosha na ukoo anaotokea huwa kupoteza mtu kwenye ramani ni dakika sifuri.
Basi kaka akawa Hana jinsi anatolewa upepo wa hela Kama Hana akili timamu halafu bi dada anatumia hela kustarehe.
Anaweza kuwa amekaa akaambiwa mama kijacho amelazwa akiuliza ugonjwa hata haueleweki, Mara hiki Mara kile na zote hizo ni hela za maana zinamtoka wakati kipato chake cha kawaida kinaweza kisizidi milion moja kwa mwezi bado majukumu ya kulea wazazi wake.
Kifupi amechooka na hekaheka na hata hamu ya huyo mtoto imemuishia...anajuta kutokuwa mpenzi wa zana kwa kutaka utamu.
Sasa kabla hayajakukuta ukatamani dunia ikufunike jipange.