Kama wewe ni mwanaume una watoto watatu njoo hapa haraka

Jamani hii post ni kwa ajiri ya mwanaume mwenzetu.

Kama wewe una mke mmoja, Ana watoto watatu wote wa kiume mtoto wako wa mwisho Ana miaka minne Basi huu uzi ni wako.


Natamnua unahangaika Sana kujenga familia yako ila mkeo hayupo pamoja na wewe.

Nakuambia mkeo anavyo sema anaenda kazini kila siku asubuhi ni muongo hapa ninapo ishi jirani ndio wamepanga chumba kimoja na kajamaa ndio wanashinda hapa na jioni anarudi kwako.

Yaani hela unazo muachia za matumizi na familia ndio wanakuja kushinda na haka kajamaa. Kusema ukweli haka kajamaa hakampemndi ila mkeo ndio anamlazimisha kwa kutumia nguvu ya pesa zako na mkeo anafosi waowane ila kajamaa ndio kanazuga inamaana kakikubali tu mzee imekula kwako .

Najua unaweza ukasema Mimi mbeya ila huu umbeya ni wa faida na nimeupata kwenye chombo kinacho aminika na mkeo huwa namuona kila siku ni mweusi ananyoa panki.

Mzee kifupi nakushauri Anza kukuandaa kisaikolojia na kujua jinsi gani utaishi na hao watoto bila mama yao nakuapia huyu mkeo ni kimeo Sana na Leo tarehe 2/12/2021 huyu mkeo amezinguana na kajamaa huku so tegemea uwepo wake hapo nyumbani ila wakipatana tu na haka kajamaa mwendo wa mkeo kuja huku unarudi Tena na hii ni kila siku .

Msaada wangu umeishia hapa ...ukiniona mbeya sawa langu la moyoni nimesha fichua maana limenitesa Kama miezi kadhaa hivi . Hatimae leo nimekua huru.
😀😀😀
 
Kajamaa ndo haka
JamiiForums1961806956.jpg
 
Back
Top Bottom