Kama wewe ni Mtumishi wa Umma hebu angalia mshahara wako wa Oktoba

Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
7,237
9,871
Hapa Mwanza ni vilio vitupu! Mishahara ya watumishi(wengi ni wale wa kada za afya) mwezi huu wa oktoba pesa zimekatwa na Hazina bila taarifa,watu wamekatwa kuanzia sh. 80000 na kuendelea wengine mshahara mzima,au zimepelekwa kwenye maadhisho ya miaka 50 ya kuthubutu nasikia ni Tz nzima...naomba kama kuna mwanajf mwenye taarifa atujuze.
 
Lo! mlikubaliana makato yaho? kama siyo tafadhari mshitaki mwajiri wako haraka iwezekanavyo kwani mshahara wa mtu hauwezi kukatwa bila idhini tena kwa maandishi ya mtumishi mwenyewe
 
hakuna makubaliano yoyote mkuu,na waliokatwa pesa ni wengi mno hadi mwajiri mwenyewe kasema walifanyiwa unyama huo waorodheshe majina yao, swali ni nini kimesababisha makosa hayo au mtandao wa hazina umekuwa hacked?
 
Ujue ni mtandao wa wizi tu huo. mkikaa kimya mtaliwa. watu hawana hata aibu siku hizi kama alivyosema padre mmoja kuwa wanakula hata bila ya kunawa mikono
 
Hapa Mwanza ni vilio vitupu! Mishahara ya watumishi(wengi ni wale wa kada za afya) mwezi huu wa oktoba pesa zimekatwa na Hazina bila taarifa,watu wamekatwa kuanzia sh. 80000 na kuendelea wengine mshahara mzima,au zimepelekwa kwenye maadhisho ya miaka 50 ya kuthubutu nasikia ni Tz nzima...naomba kama kuna mwanajf mwenye taarifa atujuze.
Nijuavyo kupitia vyanzo vyangu mshahara wa October ungechelewa kidogo kutokana na tatizo la kiufundi hazina jambo ambalo sikuliamini na bado nalifanyia kazi ili kubaini ilikuwa ni system au hazina ilikuwa imekauka (ipo chweeee). Hilo unalolisemea ndiyo nalisikia kwako na mishahara imeshaingia bank kwa watumishi wengi wa serikali lakini hakuna malalamiko kama hayo. Waulize hao wanaolia isije kuwa walijaza mikopo kisha wakasahau na banki zikawa zimeanza kuchukua chao maana wafanyakazi wa serikali nadhani wanaongoza kwa kuzinufaisha banki kwa kukopa!
 
duh itakuwa noumer! mi niko kilimo but sifahamu kama salary tayari imeingia make nilimaliza changu kitambo mno nilikuwa nasubiri this month, hebu niulize kwa wengine then ntacome back. poleni yalio wakuta!
 
eti cheque kutoka hazina zilikosewa so wamezirudisha wazifanyie malekebisho.mia
 
Hapa Mwanza ni vilio vitupu! Mishahara ya watumishi(wengi ni wale wa kada za afya) mwezi huu wa oktoba pesa zimekatwa na Hazina bila taarifa,watu wamekatwa kuanzia sh. 80000 na kuendelea wengine mshahara mzima,au zimepelekwa kwenye maadhisho ya miaka 50 ya kuthubutu nasikia ni Tz nzima...naomba kama kuna mwanajf mwenye taarifa atujuze.
sisi wilaya yetu tumeambiawa mishahara itachelewa. Wamebandika matangazo. Ila hilo linawezekana maana wafadhili wakubwa wa Taifa letu katika mambo ya kibinafsi kama hayo wote wameangukia pua! Mugabe:mambo ya uchaguzi,Ghadafi: yoyote tu without portfolio! Tutasafa sana. Prof Seithy Chachage alitunga kitabu ambacho ni hazina yetu. Naona kuna umuhimu kurefer yaliyomo.. Makuwadi wa soko huria.
 
Mbona wengine tushapata na tunatunia kwa raha zetu siku ya tatu sasa. Na uko full, haujakatwa hata sh nusu.
 
Huko kwenye ualimu wa sekondari naskia nakwenyewe bado na haileweki ni lini!!! Mmmh sijui intelijensia inasemaje, Kova hajatueleza update yoyote ya salary au Al-shabaab wameiteka!???
 
Ila pia kuna kamchezo sikaelewi, kuna muda nikecheki balance nakuta kiasi fulani hakipo na baada ya muda tena unakuta ile amount imerudi, sijui hii nayo imekaaje!!!!!
 
kuna baadhi ya Halmashauri wanasema payroll zimekosewa so, wamezirudisha hazina ili zipitiwe tena ili kusahihisha, kuna baadha ya wilaya washapata mishahara na nyingine bado. Sasa sijui kuna sehemu wameenda kukopa au cjui ni mdororo wenyewe, mambo ya kienda hivi sijui kama hiyo miaka 50 itafika
 
Makuwadi wa Soko Huria! Chachage aliona mbali saana penyee hakuwa mwanafasihi lkn kaisaidia saana tasnia hii.Kwetu siye bado bhana twasubiri tuone huo mchezo
 
Ila pia kuna kamchezo sikaelewi, kuna muda nikecheki balance nakuta kiasi fulani hakipo na baada ya muda tena unakuta ile amount imerudi, sijui hii nayo imekaaje!!!!!
Rafiki yangu alipoomba bank statement aligundua kwa miezi 4 mfululizo kuna pesa wanamungezea na kuiita Salary Refund, mbona wanaiongeza kinyemela? Hamna taarifa ni ya nini na intojewa kwa muda gani,aka ka-nchi ka wamafia....
 
Back
Top Bottom