Kama wewe ni mtaalam wa kucheza draft njoo uonyeshe kipaji chako hapa

Madimba jr

JF-Expert Member
Aug 12, 2017
1,577
3,143
Assume we una kete hizo nyekundu halafu zamu yako kucheza je unafanyaje kukwepa kupigwa supa? huu mchezo ni british hauna kula kwa nyuma
Screenshot_20190114-185204.png
 
Kuna kete ya mwisho ukutani kule karibu neno "one touch" mkabala na kete ya blue.. sukuma ndani hiyo alafu ale kwenda mbele na we unamla nyuma, then unarudi nyuma kidogo na kete moja unaanza nayo kuangalia njia nyingine
 
Ni French au British?
 
hahahahahaaa
 
Sorry mkuu hili ni draft mfumo wa kawaida au kama la Pc ukifungwa unachojoa nguo?! Kama ni Pc mode kazi unayo.
yule mzungu nilulimvuaga nguo zote akanionyesha hadi udambwi,ila ilikua shughuli kweli kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom