Kama wewe ni msichana inakuhusu na ikikupita usinilaumu

Maajabu ya maisha ni kwamba hao hao waliotembea na wanaume wengi ndo wanaolewa then decent girls wapogo tu umrii unaendaa
Mara ngap hap jamvin wanakuja wanaume wanataka ushauri wamependa hao wadada wanaojiuza wanataka wabadilike
Jibu pm zangu wewe . Unapoteza bahati ujue
 
Back
Top Bottom