Kama wewe ni mke wa mtu, acha pombe

Pombe kwa mwanamke, ulevi kwa mwanamke ni hatari sana.

Nimeshuhudia mara kadhaa mwanamke akipoteza udhibiti wa hisia na kukosa mipaka ya kimaadili baada ya kunywa pombe na kulewa.
Ukipata wanawake wenye uthubutu wa kutoa ushahidi utashangaa sana namna walivyojikuta kwenye nyumba na vitanda vya watu ambao hawakuwahi kuwaza kuwa watakuja kulala nao na kufanya uzinzi.

Niliwahi kwenda tour safari fulani, wazoefu kabla ya safari walikuwa wanasema ''yaani hapa hata usitongoze, tukishawapa bia hawa wanawake kila mtu atachagua anayemtaka''
Ndicho kilichotokea, wake za watu, wadada wa heshima kabisa ambao wakiwa hawajaelewa huwezi kuwashawishi lakini baada ya pombe walikuwa wepesi kuliko kawaida.

Watu wakubali ama wakatae lakini pombe kwa mwanamke ni hatari.
Naunga mkono hoja kwa 100%...
 
Inauma na kusikitisha sana pale ninapomuona mwanamke tena mke wa mtu akinywa pombe mbaya zaidi akishinda Bar au night clubs akinywa. Ukiona hivyo my bro jua tu, unachapiwa, sehemu hizo ni mbaya sana, nikama unachezea shilling kwenye tundu la choo. Hamna mjanja kwenye pombe, pombe haina mwenyewe.

Luth(Lutu) mwenyewe kwenye biblia alifanyishwa tendo la ndoa na binti zake akiwa amelewa hajitambui, Nuhu yeye hata kujitambua kua yupo uchi alishindwa, hata mtoto wake kumuona uchi wake, wewe nani uwe imara kiimani kuwazidi hao watumishi wa Mungu?!

Tena kama mme na mke wote ni wanywaji basi tambua wote ni wazinzi, mbaya zaidi ukute mwanamke ni mpenda wine sana

Hakuna mwanamke mwenye msimamo duniani, inategemeana na juhudi, uwezo na hali ya mtongozaji. Binafsi siku nikitaka kuoa nitamuomba Mungu sana anipatie Mwanamke asie mlevi.

Uzi tayari
Hakuna uongo apo
 
Nasikia wazungu wakilewa pombe yote inaenda kwenye dudu au k, inamana walevi wote mambo Yako ivyo. Kwamba wakinywa na kulewa , sehemu za Siri zinalewa zaidi
 
Mimi mwanamke mlevi anipite kushoto jamani, mwanamke akishalewa huwa anajizima data kichwani mazima.

Huko kwetu vijijini Kuna mwanamke alikuwa anatembea Usiku mida mibovu akiwa amelewa,ghafla alishtukiwa na wahuni wawili wa kiume wakamrubuni wakambeba kwa pikipiki yao wakampeleka kichakani wakamfanyia collaboration Moja hatari Sana kudadeki!

Unaambiwa mwanamke aliliwa na majamaa toka saa Saba Usiku Hadi saa kumi alfajiri ndo wanamuachia.
Mwenyewe alisema alirudi kwake anachechemea hajiwezi kbsa.
Ulijuaje?
 
You got a point. Wanawake wengi wakishatupia monde, beki huwa hazikabi kabisa na huishia vitandani mwa watu pengine bila kuwa wamependa kwa 100%.

Speaking from lots of experience🙂
Vitandani kote huko!!! Huko baa vyooni wanamalizana humo humo. Wakati mwingine na mtu wasiemjua, bila kinga, hawa viumbe. Sasa wale wenye makundi makundi usiseme.
 
Back
Top Bottom