Kama wewe ni mathematician tupe jibu la fumbo hili

Jamani naomba mnisaidie hii chemsha bongo, najua humu kuna mathematician waliobobea ,apa nimefikilia mpaka nikaona niwaletee great thinker

View attachment 731705
Mkuu mbona hesabu za kitoto Sana za hasi na changa.
Kumbuka 9800 ni deni na Sio keshi halafu 100 ni keshi, unawezaje kujumlisha deni (-9800) + 100(cash) then upate 9900 it's wrong.
Simple mathematics
Take
-9800(deni) + 100( cash) = -9700(deni).
Hiyo ndo pesa anayodaiwa jamaa.
 
codifier,
Uko sawa, mtoa mfanya hebabu alikosea tangu mwanzo kama deni jumla ni 10000 ukapunguziwa 300 deni likabaki 9700.

Ulitakiwa kugawa deni mara mbili =4850 kwa kila mmoja ukimpa kila moja 100 we ukabaki na 100 calculation zingekuwa hivi.

Dada(100 uliompa+4850 lile deni +50uliobaki nayo)+ kaka(100 uliompa+4850 lile deni +50 uliobaki nayo)jumla 10000.

Ndo maana biashara watu zinakufa
 
Hujajibu swali mkuu mpaka iyoo elfu kumi aliyokopa kupatikana, baada ya kuigawa
Mkuu soma post yangu vizuri #22 kama unauelewa wa hesabu utakuwa umenielewa.
Mtego wa Hilo Swali ni huu.

Kama jamaa kakopa 10,000 na kanunua kitu cha 9700 kabaki na 300 then akilipa 200 kwenye deni atabaki na 100 mfukoni keshi na deni litabaki 9800.

Sasa jamaa kakutega kachukua Hilo deni 9800 akajumlisha na 100 keshi then akapata 9900 kash which is totally wrong. Alitakiwa apate 9700 kama deni baada ya kujumlishia hiyo 100 kwenye deni lililobaki la 9800.

Kwa hiyo ili upate 10000 aliokopa chukua deni lililobaki 9700 na Sio 9800 jumlisha na discount yake ya 300 utapata 10000.

Mkuu kama na hapa bado tu hujaelewa basi hesabu imekupita kushoto.
 
Back
Top Bottom