Kama wewe ni kijana wa Kikenya karibu wakike au kiume ila tuyajenge

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
3,472
2,000
Hellow Kenyans,

Kwanza nitoe pole kwenu dhidi ya janga ili linaloendelea kututafuna sote.

Pili, naomba niende kwenye mada, mimi ni Mtanzania, kijana wa miaka 33, with my familly living in Dar.

Kwa muda mrefu nmekuwa nikiitaji kufanya biashara kimataifa na nimekuwa nikivutiwa sana kufanya na raia wa Kenya na Uganda.

Kwa kifupi mimi nimejiajili nchini Tanzania with my company, nisingependa kampuni yangu yadili na nn hapa ila ni limited company kuna vitu vingi naweza fanya na ninafanya in Tanzania natamani nivifanye East Africa ila connection ni ngumu sana.

Anyway, kama ww ni kijana wa kikenya wakike au kiume, na una mawazo ya kufanya biashara East Efrica, una ompany like me or not basi karbu tujumuike.

Tuungane nami baada ya balaaa tuyajenge karbuni sanaa.

from uganda na kenya karbuni Mitanzania sitaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ngamba

JF-Expert Member
Jun 6, 2013
733
250
Without explaining the nature of business your company deal its very difficult to attract potential business partners and it just show unserious you are. When you decide to be seriouse let me know and we do business.

Karibu kwa Muji wa Muzee Museven


Sent using Jamii Forums mobile app
 

dalalitz

JF-Expert Member
Sep 6, 2013
2,749
2,000
Nashauri Watanzania tupende kuandika Kiswahili chetu.

Hivi 'Vingeereza' vingine tuna-aibishana kwakweli.
 

Somoche

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
4,505
2,000
Unatuita Mitanzania tena???
Mtu mwenyewe hata biashara unayoifanya huijui...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom