kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 14,089
- 15,937
Kwanini hii kitu isipigwe mtama ikashushwa kitu matata hapa ikaonyesha jinsi gani chama lina wafuasi wenye nguvu na mapenzi ya kujitolea kuliko hii aibu miaka nenda!
Wahusika mko wapi njoni mfungue ofisi
Wewe ni mpuuzi kumbe kiasi hikiKila nikiangalia hii kitu wanachama wenye nguvu walivyojitolea najua makamanda nao hawashindwi!View attachment 1981055
Kipara Cha zamani kiliwahi kuonyesha ushirikiano wapi?Kwanini hii kitu isipigwe mtama ikashushwa kitu matata hapa ikaonyesha jinsi gani chama lina wafuasi wenye nguvu na mapenzi ya kujitolea kuliko hii aibu miaka nenda!View attachment 1981053
Vinyonga wa oldwuzunga!Kwa Sabaya mnakenua meno haki imetendeka ,kwa mbowe haki haikutendeka.
Acheni kuingilia uhuru wa mahakama kenge nyinyi.
Vice-chairman anaishi kwa mabeberu kwa nini asisaidiwe kuondoa hiyo kadhia hapo!Uvumilivu wa CHADEMA unawtesa waovu wa nchi hii.
Mnatamani muone CHADEMA wana-react vibaya ili pamoja na mambo mengine, hoja yenu ya ugaidi ipate nguvu.
Mna madaraka; tuna akili na maarifa kuwazidi na ndio maana hamtuwezi.
Sasa mmehamia kwenye majengo ya chama wakati nyinyi miaka 60 ya uhuru matundu ya choo kwenye shule zetu yanawashinda mpaka msaidiwe na mabeberu.
Nguvu inayotumika kutuaminisha ni chama kikuu cha upinzani chenye nguvu nje na ndani hata USA walibeba mabango basi hata ghorofa moja wajenge!Hahahha pamoja na ruzuku zote makao makuu ndo hapo kwenye nyumba ya Mtei walipozaliwa kina Liliane.
Una akili ya kitoto sana, chama kilichopo madarakani ambapo kinachukua pesa za kodi kitakavyo bila kuhojiwa unataka kulinganisha na chama cha upinzani ambacho mmeiba kura zote so hawana mbunge hata mmoja anayeeleweka na kila siku mnataka kukiua lakini mnakufa nyie (ref Mwendakuzimu).Kila nikiangalia hii kitu wanachama wenye nguvu walivyojitolea najua makamanda nao hawashindwi!View attachment 1981055
Hiyo ni Sacco's mkuuKwanini hii kitu isipigwe mtama ikashushwa kitu matata hapa ikaonyesha jinsi gani chama lina wafuasi wenye nguvu na mapenzi ya kujitolea kuliko hii aibu miaka nenda!View attachment 1981053
Ndio maana nimeandika kama makamanda wanapata ruzuku na kujenga maofisi kila kanda basi wajitolee ila kwa wale wenye mapenzi ya kweli sio hawa wanafiki na bendera fuata upepo waliojaa mitandaoni wana hela ya bundle tu!Una akili ya kitoto sana, chama kilichopo madarakani ambapo kinachukua pesa za kodi kitakavyo bila kuhojiwa unataka kulinganisha na chama cha upinzani ambacho mmeiba kura zote so hawana mbunge hata mmoja anayeeleweka na kila siku mnataka kukiua lakini mnakufa nyie (ref Mwendakuzimu).
Unamanisha mabeberu wa IMF???Vice-chairman anaishi kwa mabeberu kwa nini asisaidiwe kuondoa hiyo kadhia hapo!