Kama wewe ni jeuri, mkorofi, usiende kuishi Sumbawanga

EMMANUEL JASIRI

Senior Member
Feb 2, 2015
127
62
Sumbawanga ni tofauti,

Wanapenda wageni

Ni wapole

Ni wakarimu

Hawana roho ya kwanini

Sio wachokozi

Hawana mambo ya kurogana rogana hovyo japo uchawi wanaujua vizuri

Walio bahatika kumjua MUNGU wana msimamo katika imani ya dini

Ila kama wewe ni mchokozi,mkorofi sumbawanga haikufai

Watu wa Sumbawanga

Ukimkosea atakuonya taratibu na kwa upole

Ukirudia, atakuonya tena mpaka Mara 3

Usipo sikia,atatuma mtu au Watu wakuonye

Ukiendelea kumsumbua ndio utajua kuwa duniani kuna uchawi

Ndugu zangu Watanzania

Tuache ukorofi,ubabe,uchokozi na ujeuri

Hii Dunia Ina mengi, usimdharau usiye mjua

Wala usimdharau MTU

Unaweza ukajiletelea matatizo na familia yako ikateseka

Huo ni ushauri tu

Kama wewe ni mbabe kapambane na wafipa wa Sumbawanga uone
 
basi kuna mtu utakuwa umwmfanyizia mbona waandika kama umefanya weww
 
Rukwa-Sumbawanga aka swaxtown this city is blessed aise never seen

Achana na stori za kuambiwa na kusadikika zile za miaka ya 80-90 uko kipindi cha gazeti mojo na redio moja

Katika maisha yako, apa Tanzania basi fikiria kwenda Sumbawanga kutali hata kibiashara siku moja huto juta

Wanao kufahamu hawawezi pinga.
 
Back
Top Bottom